Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
ww vp mbona unatoka povu?
Au ulizaliwa na single mom nn. Hatutaki sasa kuoa single mom sababu hawajatulia walikuwa viruka njia

I have said this before and i will say it again, you don't have to insult someone just to prove a point. Wewe mama yake mleta mada amefikaje huku? Whether she's a product of a broken relationship/marriage or not tujifunze kutokuvuka mipaka ya watu jamani. Sikatai you probably have some scores to settle with her ila naomba yaishie kwake, involving someone's else parents isn't fair.
 
Mkuu pata picha ifuatayo... mkeo ana mtoto na mwanaume mwingine nanyi mna watoto wawili pamoja. Mnakaa nao wote. Mtoto wa kambo anasomeshwa shule na baba mtoto ya million 6 kwa mwaka, wewe mume ukijipiga sana unaweza kuwasomesha watoto hawa wawili government na vi tuition kidogo. Aisee noma sana kidume lazima uwe mpole tu ukisikia wife anaenda kuchukua matunzo ya mtoto! Ndo maana kwangu mimi naona its more than money, kuna jealously, kujisikia inferior mbele ya kidume mwenzio nk.

Kama hilo ni tatizo mtoto si aende kwa baba yake
 
Kama hilo ni tatizo mtoto si aende kwa baba yake

Kwa baba yake napo kuna mama wa kambo. Ombea huyo mama awe ni mwema na ampende huyo mtoto. Hakuna kitu kibaya kama mama wa kambo amuwekee mgomo baridi mwanao, kila anachotaka anampa, hamuonyi, hamkanyi, hafuatilii homework wala nini anamuwashia tv mtoto acheki cartoon 24/7. Subiria a spoilt kid! Haya mambo magumu sana aisee
 
ww vp mbona unatoka povu?
Au ulizaliwa na single mom nn. Hatutaki sasa kuoa single mom sababu hawajatulia walikuwa viruka njia

Nadhani uelewa wako ni mdogo. Unaposema hatuoi au hatutaki kuoa,je hamtaki kina nani?ni wewe na nani hamtaki,wataje vinginevyo unatujumuisha sisi wengine tunaotaka,mimi nataka kuoa single mom wote wa ukoo wenu ukiwemo wewe.. Kama hutaki kitu jisemee mwenyewe hutaki sio kuwasemea wengine. Nadhani umenielewa.
 
ww hata ujitetee vp single mom nenden zenu hatutaki kuoa used sisi.
Labda kwa kugegedwa tu ila kuoa hakuna

Kwa hiyo ambao hawajazaa sio used? Nakubaliana na wale wanaotumia kigezo cha kuogopa kuibiwa lkn kigezo cha used mmmh...kuna watu hawajazaa lkn wamechajazwa kuliko hata hao ambao hawajazaa. Kuna watu walipewa mimba wakiwa wanafunzi wakakimbiwa na wanaume wao wakapigana mpaka wakafanikiwa kimaisha....mkiwahukumu namna hyo mnakuwa hamuwatendei haki kabisa....
 
Kwanini unadhani najifariji? na kwanini nijifariji.....Mpendwa,nadhani uko under age ndo maana unafikra za kitoto hivyo,Naomba nikufahamishe mtoto ni baraka na faraja ya ajabu,utakuwa na stress na kila aina ya shida,lakini ukimwona mtoto moyo wako unakupa nguvu ya kusonga mbele...
Ni hivi kama unadhani single momz are nothing infront of anyboy , you are wrong.....wapo wanaume wengine wanaowapenda kwa dhati hao hao unaowaona wewe hawafai....
kwa kumalizia ..kama wewe unaona huhitaji mtu wa hivyo nenda unakohitaji kwenda,kwasababu kila mtu Kaandikiwa wake,huna sababu ya kuruka ruka kama kinda la ndege...

Sweetness you don't have to justify yourself to anyone let alone anyone as ignorant and obnoxious as him! Don’t let someone who has a bad attitude give it to you. Don’t let them get to you. They can’t pull the trigger if you don’t hand them the gun.You go girl and keep doing what you do best! Being a single parent could be the most tasking job but it is the most highly paid job!!!
 
Attachments

  • A single parent i do so admire.jpg
    A single parent i do so admire.jpg
    18.6 KB · Views: 358
  • A single-parent-love-children-mother-quotes.jpg
    A single-parent-love-children-mother-quotes.jpg
    37.1 KB · Views: 163
Single mom ni tatizo sana kwenye mahusiano aisee...

Mie nimekwenda mbali, siwezi kuoa mwanamke aliyekuzwa na single mom, wengi huwa wanakua na tabia kama za mama zao

Mshukuru Mungu ulipata a responsible father akakulea..Am a single mom,na ninatamani mtoto wangu angepata malezi ya baba,ila ndo hivyo tena yaliyotokea yametokea.Wewe tu mshukuru Mungu kwa bahati uliyopata
 
Kwa baba yake napo kuna mama wa kambo. Ombea huyo mama awe ni mwema na ampende huyo mtoto. Hakuna kitu kibaya kama mama wa kambo amuwekee mgomo baridi mwanao, kila anachotaka anampa, hamuonyi, hamkanyi, hafuatilii homework wala nini anamuwashia tv mtoto acheki cartoon 24/7. Subiria a spoilt kid! Haya mambo magumu sana aisee
Na pia wanawake wengi hawawezi kulea mtoto wa mwenzie,hasa pale yeye anapokuwa bado hajapata mtoto....unamwandalia mtoto jehanam ya dunia,....I cant take it,
 
Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki amechoka na amekongoroka kabisa huyo"

Kumbuka hapa kuna wanawake wengine hata ukikutana nae na asipokuambia ana mtoto huwezi jua, anajipenda na ni mrembo wa kuvutia na mwenye maendeleo.

Wanaume wengi sana wanaona hana thamani, na wengine kusema ni wameshindikana walikotoka yaani na jaamaa aliyezaa nae.Tukumbuke NOT EVERYMAN MEANT TO BE A DADY, kuna wengine ni waharibifu tu, pengine pia tofauti za maisha zinazotokea zinapelekea yote hayo kutokea, Watu hawaelewi...

Single moms haimaanishi hawatakiwi kuwa na mahusano mengine mapya labda na mwanaume ambaye hana mtoto, wengi hudhani ukijitumbukiza hapo basi utalea mtoto.

Jamani kuna watu wanauwezo wa kutake care ya watoto wao bila msaada, jiulize kabla yako nani alikuwa anamsaidia kama sie mwenyewe. Ni faraja na upendo tu anahitaji kutoka sehemu nyingne.

Hawa watu haimaanishi waolewe au wawe na mahusiano na wanaume ambao nao wanawatoto...eti sababu wasaidane kulea... Tena na zile familia zikisikia kijana anasema "nina mwanamke ila ana mtoto" moto unawaka, jamani jamani? Huu si ubaguzi lakini?

Mwenye mawazo hayo wewe ni katili na mbinafsi kabisa. Na ndo maana inafikia hatua wanaume mnafichwa mnakuja kutambua kwamba ana mtoto imepita hata miaka 10, halafu unalaumu oooh hakuniambia. Hakukuambia kwasababu anajua mtazamo wenu kwao...

Mimi naomba tu niwaambie ndugu Kaka zangu, wadogo zangu, Mwanamke aliyezaa ni sawa na wengine tu, tena bora yeye kazaaa anajua ana kizazi, kuliko hao wasiozaa na wanaokesha kila siku kutafuta watoto kwa waganga..

Mimi mwenyewe ni mfano mzuri, nimepata unyanyasaji sana na wanaume, pale nilipokuwa nawaambia nina mtoto, wengine walishia kimya kimya, wakidai eti tuna kawaida ya kupasha kiporo na mzazi mwenza HIYO NI UONGO NA FIKRA MBOVU ZA WATU
Na kamwe sikuweza kuficha kama sina mtoto kwasababu najua nini maana ya mtoto. Mtoto ni zaidi ya thamani ya vitu ulivyonavyo ndani...
Tena wanawake ambao mmekutana na haya wala msifiche ukweli, Mwanaume akikimbia ujue mungu kakuepushia jambo.

WANAUME HEBU TOENI NA MBADILIKE NA HIZO IMANI AMBAZO SIO...

Swali lolote linakaribishwa... Asanteni

Sweetheart stop taking out your frustrations on others, being a single parent isn't a curse, it all depends on how you decide to perceive it. Kuna kauli zako ambazo kwa kweli ni kikwazo kwa watu wengine (refer to the bolded parts). Just because God has granted you the gift of parenthood doesn't give you the rights to insult others, mtoto ni kipaji kutoka kwa Mungu na kila mwanamke ana haki ya kuitwa mama whether married or not.
 
Attachments

  • Right attitude.jpg
    Right attitude.jpg
    89.4 KB · Views: 160
Kwanza am soo proud to be a Mom, Am a single mama na sijawahi kujutia being a single mama,kwahiyo mtu mwingine akiniita mimi used kiukweli sijihisi vibaya hata kidogo,kwasababu wewe utaniita hivyo wakati kuna mtu ananiita mama,neno mama kwangu najihisi n kama the greatest mom...
Huyo unamwona wewe hafai ni sawa na mamako aliyekuzaa wewe(samahani kama nimetukana hapo)...

Single dady kuja hapa tulee watoto tuwaache hao wenzetu waende sawa, sisi tunaoonekana tuna vikwazo tutakuwa tunafahamiana vizuri zaid kuliko kutafuta matatizo zaid....

All in all, Sijawahi kujutia wala kuyachukia maisha yangu hata nikiitwa jalala,poa tuuu😛eace:😛eace:,all I kno a somebody's mom.

nimekupenda bure.... hakuna kitu kizuri kama kuwa single mama unajitambua. inabidi tuanzishe chama chetu cha single mama na single daddy
 
Swali lolote linakaribishwa... Asanteni

To be fair hata wanawake hawataki wanaume wenye watoto. Ni haki mtu kutaka mahusiano yanayoanza fresh huwezi kumlaumu.

Kuna wanaoelewa hayo, kuna single fathers. Its time u start screening well ur suitors ili upate wanaokuelewa achana na hao wasioelewa. Si kila mwanaume anakufaa, everybody deserves someone who understands them.

Watu hawaangalii kuwa umbo lako limeharibika (Because if thats the case they may have a chance to prove their wories). Wanaangalia complications za kuishi na mtoto ambaye si wao ama wewe kuwa attached na mtoto ambaye yuko somewhere else. Na hivyo vitu wana haki ya kuyakataa kwa sababu si kila mtu anaweza kuyabeba hayo kwenye mahusiano. Wanaweza wakakukubalia lakini ukawa na uhusiano mbaya unaokutesa, U don't want that, do u?

Tafuta tu waelewa, wako wengi sana
 
Kwa baba yake napo kuna mama wa kambo. Ombea huyo mama awe ni mwema na ampende huyo mtoto. Hakuna kitu kibaya kama mama wa kambo amuwekee mgomo baridi mwanao, kila anachotaka anampa, hamuonyi, hamkanyi, hafuatilii homework wala nini anamuwashia tv mtoto acheki cartoon 24/7. Subiria a spoilt kid! Haya mambo magumu sana aisee

Hahahaa...mi mwenyewe sitaki kuolewa na single daddy aisee maana watu wanasemaga mi mkali kwa hyo mtoto wa watu atahisi ananyanyaswa tu hasa kipindi ambacho ntakuwa sijazaa bado
 
Mshukuru Mungu ulipata a responsible father akakulea..Am a single mom,na ninatamani mtoto wangu angepata malezi ya baba,ila ndo hivyo tena yaliyotokea yametokea.Wewe tu mshukuru Mungu kwa bahati uliyopata

Daaah mkuu umeongea kwa hisia hadi umenihuzunisha..... Mungu akutie nguvu. Kamwe hauko peke yako...
 
I have said this before and i will say it again, you don't have to insult someone just to prove a point. Wewe mama yake mleta mada amefikaje huku? Whether she's a product of a broken relationship/marriage or not tujifunze kutokuvuka mipaka ya watu jamani. Sikatai you probably have some scores to settle with her ila naomba yaishie kwake, involving someone's else parents isn't fair.

Sweetness you don't have to justify yourself to anyone let alone anyone as ignorant and obnoxious as him! Don’t let someone who has a bad attitude give it to you. Don’t let them get to you. They can’t pull the trigger if you don’t hand them the gun.You go girl and keep doing what you do best! Being a single parent could be the most tasking job but it is the most highly paid job!!!

Sweetheart stop taking it out your frustrations on others, being a single parent isn't a curse, it all depends on how you decide to perceive it. Kuna kauli zako ambazo kwa kweli ni kikwazo kwa watu wengine (refer to the bolded parts). Just because God has granted you the gift of parenthood doesn't give you the rights to insult others, mtoto ni kipaji kutoka kwa Mungu na kila mwanamke ana haki ya kuitwa mama whether married or not.

Nimekupenda bure sweetheart....unaongea vitu adimu hadi nasisimka. Nakuombea maisha marefu na wengine wanufaike zaidi na zaidi kwa busara zako...
 
Ukimpenda kweli mwanamke, hata kama ana mtoto. Utamchukulia alivyo. Kuwa na mtoto ni kitu cha kawaida sana. Hata sisi wanaume sometimes unakuwa na mtoto uliyempata katika mahusiano.

Ni kweli ukimpenda mtu kwa dhati awe na mtoto au awe tasa utaishi nae.Mengine yote mbwembwe
 
poor you ......Hebu Mungu akupe ufahamu

ww ndio upewe ufahamu kuwa kuzini nje ya ndoa ni dhambi.
Ww mwanamke hatari sana unajifariji wakat ww ni mzinzi!
Kipindi cha sheria ya Mussa ulistahili upigwe mawe hadi kufa.
 
Mshukuru Mungu ulipata a responsible father akakulea..Am a single mom,na ninatamani mtoto wangu angepata malezi ya baba,ila ndo hivyo tena yaliyotokea yametokea.Wewe tu mshukuru Mungu kwa bahati uliyopata
Nimeshamshukuru..........
 
Nakuonea huruma, wamekushambuliaje, sijui hata kama wamepata ulichowasilisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom