Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
Sister unafikiri wanaume wanapenda wake zao waolewe na wanaume wengine pindi wanapowaacha? iwe ni kifo au talaka? Huchukia kabisa! Akikuacha we baki single ulee watoto peke yako wanaamini huna right ya kuwa na raha wala kuwa ktk mahusiano mengine!
Tena kama akikuacha na yupo hai ukitaka asitunze watoto ni afahamu kwamba una uhusiano na mwanaume mwingine

sasa yote ya nini....kama nimeshindwana na wewe ingawa tumezaa haijalishi kwamba kuna mwanaume mwingine atashindwa kuishi na mimi hata kama nina mtoto....
 
Kumbe nanihii nae ni single mom kama frola mbasha....heheheheh dah!,msifiche kama mna watt jamani kwan kuna ubaya kama ukizalishwa.

hivi kuzalishwa kuna maana gani?
 
..nadhani ni vizuri mki date Na single fathers, mnakuwa Na interests zinazoendana, kuongelea kuhusu watoto..hata mahusiano yenu yakikomaa ni rahisi kuwafanya watoto wakutane nabkufurahi zaidi, lakini eti saivi unikalishe Na single mama, akianza Tu kuongelea utundu wa mwanae naanza kuboreka..

Hahahaaaaa wewe acha unyanyapaa! Ofcoz naelewa hali hiyo! inategemea pia umri uliokuwa nao!
 
Hahahaaaaa wewe acha unyanyapaa! Ofcoz naelewa hali hiyo! inategemea pia umri uliokuwa nao!

Mkuu, kuwa single mama ni ulemavu??? Sidhani Kama nimetoa kauli ya kuwatemga, hata hivyo unaamua kuishi Na mtu unayempenda regardless ana watoto au hana, kila mtu ana uchaguzi wa nani anamfaa katika maisha yake!!

siwezi kuwanyanyapaa single parents vile hata mimi sijui kesho yangu, sababu za kuwa hivyo ni nyingi ikiwepo kufiwa..
 
Binafsi sioni tatizo kuoa mwanamke aliyezaa, sio kila aliyezaa basi ni mbaya, na wala sio kila single mom kazaa nje ya ndoa. Kuna sababu nyingi sana zinazopelekea kuwa single mom au dad. Na sio kweli eti wanawake ambao hawajazaa ni better than waliozaa, kikubwa ni kupendana, kuelewana, kuaminiana, kuheshimiana n.k.

Point! Kuna ambao hawajazaa lakini wametoa hadi mimba 5! Wana alama gani? Nani awezae kuwatambua?
 
Mkuu, kuwa single mama ni ulemavu??? Sidhani Kama nimetoa kauli ya kuwatemga, hata hivyo unaamua kuishi Na mtu unayempenda regardless ana watoto au hana, kila mtu ana uchaguzi wa nani anamfaa katika maisha yake!!

siwezi kuwanyanyapaa single parents vile hata mimi sijui kesho yangu, sababu za kuwa hivyo ni nyingi ikiwepo kufiwa..

Sawa nimekusoma Mkuu! Kila la heri
 
Uko sahihi Morg, Najua watakupinga na kukejeli uliyazungumza ila to be honest ulichozungumza ni ukweli mtupu.... binafsi sijaoa but I wish ningepata single mummy mmoja coz they know what is meant by becoming a mother and a wife to a family. Mabinti wa sasa ingawa si wote wako fake sana na ni shida kwenye mahusiano so its betta upate mtu ambaye ashayajua maisha vizuri japokuwa nao wana changamoto zao.

Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki amechoka na amekongoroka kabisa huyo"

Kumbuka hapa kuna wanawake wengine hata ukikutana nae na asipokuambia ana mtoto huwezi jua, anajipenda na ni mrembo wa kuvutia na mwenye maendeleo.

Wanaume wengi sana wanaona hana thamani, na wengine kusema ni wameshindikana walikotoka yaani na jaamaa aliyezaa nae.Tukumbuke NOT EVERYMAN MEANT TO BE A DADY, kuna wengine ni waharibifu tu, pengine pia tofauti za maisha zinazotokea zinapelekea yote hayo kutokea, Watu hawaelewi...

Single moms haimaanishi hawatakiwi kuwa na mahusano mengine mapya labda na mwanaume ambaye hana mtoto, wengi hudhani ukijitumbukiza hapo basi utalea mtoto.

Jamani kuna watu wanauwezo wa kutake care ya watoto wao bila msaada, jiulize kabla yako nani alikuwa anamsaidia kama sie mwenyewe. Ni faraja na upendo tu anahitaji kutoka sehemu nyingne.

Hawa watu haimaanishi waolewe au wawe na mahusiano na wanaume ambao nao wanawatoto...eti sababu wasaidane kulea... Tena na zile familia zikisikia kijana anasema "nina mwanamke ila ana mtoto" moto unawaka, jamani jamani? Huu si ubaguzi lakini?

Mwenye mawazo hayo wewe ni katili na mbinafsi kabisa. Na ndo maana inafikia hatua wanaume mnafichwa mnakuja kutambua kwamba ana mtoto imepita hata miaka 10, halafu unalaumu oooh hakuniambia. Hakukuambia kwasababu anajua mtazamo wenu kwao...

Mimi naomba tu niwaambie ndugu Kaka zangu, wadogo zangu, Mwanamke aliyezaa ni sawa na wengine tu, tena bora yeye kazaaa anajua ana kizazi, kuliko hao wasiozaa na wanaokesha kila siku kutafuta watoto kwa waganga..

Mimi mwenyewe ni mfano mzuri, nimepata unyanyasaji sana na wanaume, pale nilipokuwa nawaambia nina mtoto, wengine walishia kimya kimya, wakidai eti tuna kawaida ya kupasha kiporo na mzazi mwenza HIYO NI UONGO NA FIKRA MBOVU ZA WATU
Na kamwe sikuweza kuficha kama sina mtoto kwasababu najua nini maana ya mtoto. Mtoto ni zaidi ya thamani ya vitu ulivyonavyo ndani...
Tena wanawake ambao mmekutana na haya wala msifiche ukweli, Mwanaume akikimbia ujue mungu kakuepushia jambo.

WANAUME HEBU TOENI NA MBADILIKE NA HIZO IMANI AMBAZO SIO...

Swali lolote linakaribishwa... Asanteni
 
kwa hiyo unatualika tuku PM?
 
Mabinti wabichi na wazuri wako wengi,kiasi single moms soko lenu la kuolewa ni utata.
 
nikweli unajuwa wazi kuwa una kizazi,lakin bwana hautaacha kumpenda baba wa mtoto hata iweje labda na huyo mwanao usimpende. kwa upande wangu nina wivu sana na naamini kila mwanaume anao,na najuwa wazi nilazima mawasiliano yawepo na mzazi mwenza ya faragha au hadharan na nyie wanawake mna huruma,na mwanzo ulimpenda na damu zinaendana mpaka mimba imeingia,sasa nivipi utakavyo himili maombi yake yenye kutia huruma ama kukumbushia,au anakame wa muda mrefu,au anavutiwa nawe kuliko maelezo, au hakupataga mwingine kama wewe? na ikizingatiwa kila mwanamke inajulikana wazi ni dhaifu kwa mwanaume.
 
Najua hii ni kampeni ila ukweli ni kwamba hatutaki...rudi kapeleke io toto kwa uliezini nae
 
Point! Kuna ambao hawajazaa lakini wametoa hadi mimba 5! Wana alama gani? Nani awezae kuwatambua?

Hata mimi nashangaa....wamewavika utakatifu kweli mabinti wasio na watoto....kiukweli mimi single momz nawaheshimu sana maana katika hali hiyo wangeweza kufanya lolote but waliamua kutunza mimba na hatimaye watoto wao...big up to all single momz
 
Kwanini niowe mwanamke aliezalishwa tayari? Umechuja kimapenzi unafikiria kulea watoto tu! Tafuta mwenzako mnae match nae.kama huyo mwanamme hafai kuwa mume,kwanini ulimpa papuchi? Wewe umeshindikana.
 
ww ndio upewe ufahamu kuwa kuzini nje ya ndoa ni dhambi.
Ww mwanamke hatari sana unajifariji wakat ww ni mzinzi!
Kipindi cha sheria ya Mussa ulistahili upigwe mawe hadi kufa.

brother taratibu whatever it is hii si kauli nzuri kwa mtoto wa kike, bado anastahili heshima upendo na kuthaminiwa.

tunaweza tukaweka ligi hapa single mothers na wasiozaa mkakuta single mothers ndio wanaongoza kimvuto.

ila hili swala nadhani hata single mother mnawageneralise sana lakini kiukweli wapo kwenye 3 category.

.1 wajane- hawa ni total innocent na bible inatuhamasisha kuwaowa hawa na mungu atakubaliki.

2. under 28 years old- acheni masikhara kabisa kuna madem bomba sana age hii ila accidentally wakajikuta walizaa na kuzinguana na waliozaa nao, lakini ukija kwenye umbo la kike ana sifa zote na anawotoa knock out hata wale ambao wapo vyuoni, mademu wa aina hii wanaume ni laxima wavae mabomu na kujilipuwa potelea mbali come what may.

3. single mom over 35years never married before- hapa ndipo kwenye mtihani kama upo kundi hili na haumiliki uchumi mrefu kwakweli nalihurumia kundi hili, hawa ni most stress single moms wanaotowa uchi hata kwa watoto wadogo na madreva tax. je wewe upo category ipi hapo?
 
Kuna ukweli mwanamke anapokuwa na mtoto soko lake linashuka sana tofauti na mwanaume awe nao hata wawili si tatizo kwa maisha yetu ya kila siku tunayaona
 
ww vp mbona unatoka povu?
Au ulizaliwa na single mom nn. Hatutaki sasa kuoa single mom sababu hawajatulia walikuwa viruka njia

Dad died when I was 2...my mom became a single mom.... but she got married to my step dad and I'm enjoying staying with my super super step dad
 
..nadhani ni vizuri mki date Na single fathers, mnakuwa Na interests zinazoendana, kuongelea kuhusu watoto..hata mahusiano yenu yakikomaa ni rahisi kuwafanya watoto wakutane nabkufurahi zaidi, lakini eti saivi unikalishe Na single mama, akianza Tu kuongelea utundu wa mwanae naanza kuboreka..

Duh...maneno ya ukweli haya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom