Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,174
- 26,913
mkuu unanitolea maneno hayo umeelewa statment yangu?
Toka mwanzo nilisema nawaombea wale wajane ila sio waliopata kwa kujirusha kwa upumbavu wa kutaka chips kuku,soseji na bagger. Kama ww ni mjane Mungu akuongoze na akbariki upate mume ila kama ni chips kuku na bagga basi hilo utakula na wakwenu
Daah umesema ukweli mkuu ...kwa kweli kama itatokea nataka kuoa single mom basi ni yule mjane tu sio yule aliyemzalisha bado yupo hai sababu sitohitaji mke wangu awe connection na watu wake wa nyuma in any means