Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
HV huo uhalali Wa kusema wanaenda kupanua miguu hovyo unaupata WAP ilhali hata mkeo/mpenzio hujamkuta bikra?
Mbn watu wapuuzi kiasi hcho?

ww bwana ni mzigo kweli ww.
Sikijui unachokitetea
 
komaa kama umri wako bado unadai, usikubali mimba kabla ya ndoa.

ni bora uwe senior bachelor kuliko kuzaa kama chura. nitakuelewa ukiwa single mom kama klyn wa bwana machache. pale hata dada yangu nitamshauri do it worry not.

ndo kwanza jua lina chomoza nitasubiri hata miaka mia lol
 
Huu ujinga wa kuona watu wakizaa hawana faida upo sana Tanzania. Mimi nimeowa mwanamke ambae aliolewa na kuachika na nilimkuta ana Mtoto wa 4yrs. Now Mtoto ana 11 yrs. mpaka nikukwambie sio mwanangu au huwezi jua.

Kwetu walikuja na kila sababu. Wewe umesoma yeye hajasoma. Nikawaambia degree zipo tuu hizi. Nilimpekea college akamaliza Tumaini degree yake.

Ujinga na upotofu kuona mtu akizaa ni ukoma.
 
yaani ww ndio naweza kukuita ni mnafiki mkubwa.
Kama unawapenda mbona hujaoa single momz?
Usiupotoshe umma kwa kuuficha ukweli ww mwenyew hata kama hujaoa huwez kuoa single momz.
Sasa hvi unawapa moyo ili waendelee kuzini na kuzaa.
..........acha kuwa mzigo nanga.......

Unajuaje kama sijaoa single mom?
Don't act like u know me aisee
Eti nawapa moyo waendelee KuzINI nje we USAF wako uko wp hasa ilhali unazini?
Wengi mnajua kuhukumu tu wakat ndo Wa kwanza kutoa mimba za we za wenu au kuwachangia washkaj wawatoe madem wao mimba
Kwani single moms wote hawajiwez?
Ujue u guys mnakua so mean mpaka mnakera MTU kuhtaj mapenz au Faraja ya upande w Pili haimaanishi hawez Ku Lea mwanae ts just ni moja ya basic needs so she can't deny t
Mnapoint fingers ts like yeye kaachwa wakat ukute mzazi mwenzie alikua Malaya mdada Wa watu kujielewa akaamua kujitoa kwenye mtandao au mzazi mwenzi kamuacha sababu alikua anamshinikiza atoe mimba
Anyway neno langu sio sheria so kila la Kheri kwenye kujiona vidume wakat we are not responsible
 
Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki amechoka na amekongoroka kabisa huyo"

Kumbuka hapa kuna wanawake wengine hata ukikutana nae na asipokuambia ana mtoto huwezi jua, anajipenda na ni mrembo wa kuvutia na mwenye maendeleo.

Wanaume wengi sana wanaona hana thamani, na wengine kusema ni wameshindikana walikotoka yaani na jaamaa aliyezaa nae.Tukumbuke NOT EVERYMAN MEANT TO BE A DADY, kuna wengine ni waharibifu tu, pengine pia tofauti za maisha zinazotokea zinapelekea yote hayo kutokea, Watu hawaelewi...

Single moms haimaanishi hawatakiwi kuwa na mahusano mengine mapya labda na mwanaume ambaye hana mtoto, wengi hudhani ukijitumbukiza hapo basi utalea mtoto.

Jamani kuna watu wanauwezo wa kutake care ya watoto wao bila msaada, jiulize kabla yako nani alikuwa anamsaidia kama sie mwenyewe. Ni faraja na upendo tu anahitaji kutoka sehemu nyingne.

Hawa watu haimaanishi waolewe au wawe na mahusiano na wanaume ambao nao wanawatoto...eti sababu wasaidane kulea... Tena na zile familia zikisikia kijana anasema "nina mwanamke ila ana mtoto" moto unawaka, jamani jamani? Huu si ubaguzi lakini?

Mwenye mawazo hayo wewe ni katili na mbinafsi kabisa. Na ndo maana inafikia hatua wanaume mnafichwa mnakuja kutambua kwamba ana mtoto imepita hata miaka 10, halafu unalaumu oooh hakuniambia. Hakukuambia kwasababu anajua mtazamo wenu kwao...

Mimi naomba tu niwaambie ndugu Kaka zangu, wadogo zangu, Mwanamke aliyezaa ni sawa na wengine tu, tena bora yeye kazaaa anajua ana kizazi, kuliko hao wasiozaa na wanaokesha kila siku kutafuta watoto kwa waganga..

Mimi mwenyewe ni mfano mzuri, nimepata unyanyasaji sana na wanaume, pale nilipokuwa nawaambia nina mtoto, wengine walishia kimya kimya, wakidai eti tuna kawaida ya kupasha kiporo na mzazi mwenza HIYO NI UONGO NA FIKRA MBOVU ZA WATU
Na kamwe sikuweza kuficha kama sina mtoto kwasababu najua nini maana ya mtoto. Mtoto ni zaidi ya thamani ya vitu ulivyonavyo ndani...
Tena wanawake ambao mmekutana na haya wala msifiche ukweli, Mwanaume akikimbia ujue mungu kakuepushia jambo.

WANAUME HEBU TOENI NA MBADILIKE NA HIZO IMANI AMBAZO SIO...

Swali lolote linakaribishwa... Asanteni
kupasha kiporo ipo...itifaki nimezingatia katika hili
 
Huu ujinga wa kuona watu wakizaa hawana faida upo sana Tanzania. Mimi nimeowa mwanamke ambae aliolewa na kuachika na nilimkuta ana Mtoto wa 4yrs. Now Mtoto ana 11 yrs. mpaka nikukwambie sio mwanangu au huwezi jua.

Kwetu walikuja na kila sababu. Wewe umesoma yeye hajasoma. Nikawaambia degree zipo tuu hizi. Nilimpekea college akamaliza Tumaini degree yake.

Ujinga na upotofu kuona mtu akizaa ni ukoma.

Thanks for the proof
Mungu akubariki sana
 
I have said this before and i will say it again, you don't have to insult someone just to prove a point. Wewe mama yake mleta mada amefikaje huku? Whether she's a product of a broken relationship/marriage or not tujifunze kutokuvuka mipaka ya watu jamani. Sikatai you probably have some scores to settle with her ila naomba yaishie kwake, involving someone's else parents isn't fair.

Well said, nimelelewa na single mom na sioni tatizo katika hilo. Ni makubaliani tu kati ya wahusika ndio matters.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Nimejisikia binaya kuona watu wanavowadis single mom especially ladies mh mnapata wapi hiyo nguvu?Hakuna mwanamke anaependa kuwa single mom ila initokea tu kumbuka uwezo wa kutoa hiyo mimba upo ila mtu hapendi kumkosea mungu tena so kwangu i salute them.
 
aisee hii thread ina mengi ya kujifunza...
single moms msikatishwe tamaa kwa maneno makali yanayotumika humu kwa sababu ukweli ni kwamba jambo likishatokea limetokea shukuru Mungu and life goes on, enjoy each moments with your kids.

lakini pia kwa ambao hatuna watoto tujitahidi tusipate watoto nje ya ndoa, japo wapo single moms ambao walishaolewa wakakumbana na mateso ndani ya ndoa wakaamua kujiweka pembeni, hiyo ni another case.

jamii iache kuwachukulia single moms kama ni wakosaji sana haya mambo yanatokea sana maana kuna ndugu yangu alienda kuoa a single mom ila hakusema kuwa yule mchumba ana mtoto hadi siku ameshamuoa ndugu wanashangaa mwanamke anakuja na mtoto, kila kashfa ilitolewa hapo... nakumbuka shangazi zangu walisema "tunaona ng'ombe amekuja na majani yake mdomoni"....wanasema hayo ilhali wanajua kwenye familia yetu pia wapo single moms...
 
kuna watu waajabu sana
mkuu.
Yaan mwanamke kwa starehe zake na kiherehere chake na minyege yake akawa
anavuavua hovyo chupi huko kisa tu kaahidiwa chips kuku na soseji
hakujua kuwa kuna mimba? Hakujua kuna kuolewa? Leo amezalishwa huko
anataka et mm ndio nimuoe kudadek peleka kulekule alikokuwa anatanua
miguu alaaa! Nataman hata kuyazima makofi ningekuwa nawaona
aaaaghrrrr!

wewe mwanafunzi nini siyo kila mwanamke anadanganywa na chips wacha kukariri.
 
Kweli baadhi ya wadada wamejichokea...
..umri ukipiga hodi mwafanya chochote.
 
Nimejisikia binaya kuona watu wanavowadis single mom especially ladies mh mnapata wapi hiyo nguvu?Hakuna mwanamke anaependa kuwa single mom ila initokea tu kumbuka uwezo wa kutoa hiyo mimba upo ila mtu hapendi kumkosea mungu tena so kwangu i salute them.

..wengine wameshatoa nyingi tu, hata hizi walizoweka Labda ilishindikana kutoa.
..wengine umri umeenda Na hawaoni mr. perfect akija.
..wengine wamezaa za waume za watu, hawawezi kuwa open kwenye jamii.
..wengine walishindikana kwenye ndoa, wakapigwa chini.
..wengine wamefiwa(hawa nawapa pole Sana)
 
sikulaumu ndugu kwa sababu level yako ya kufikiria inaishia hapo so i've nothing to add. nice wkend bro..

hehehe! Unanichekesha sana unaweza kujiona upo bright kumbe akili yako ng'ombe tu
 
SWALI;mimi mwenyewe ni miongoni mwa wanaume waliosepa kimyakimya kwa suala hilohilo la mwanamke kuwa na mtoto alafu kaachika,hivi jamani mfupa alioushindwa fisi umbwa atauweza?utakuta mwanamke kaishi na mume wake miaka miwili tu tayari kaachika ukijiuliza kilichomfanya aachwe na mume wake ni nn?wengi tumejijengea dhamira ya kwamba ma single mum wengi wameshindikana ndio maana wengi wenu kuolewa tena inakuwa tatizo.
 
single mom or not, heshima yako ni utu wako na tabia yako. Waoaji ni wengi mno, tena hawa hawa wasio na watoto.

Kikubwa jitambue, punguza utegemezi, usijinyanyapae na kujiona hufai tena. Jithamini wewe kwanza, jamii inayokuzunguka itakuthamini pia.

Ila kama unaweza, date single dads too
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom