Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
Sijaumia mpendwa. Nilitaka tu kumwonyesha anavyoweza kuumiza watu kwa judgements zake.

mkuu sorry kwa kukuumiza ila kuna wanawake kama huyo Morg wanatoa malalamiko wakat kumbe wao ndio viruka njia nani atamvumilia mwanamke kama huyu?
Kila aina za mboo anazijua na utendaji wake sasa huyu mwanamke au kahaba?
 
Last edited by a moderator:
mkuu sorry kwa kukuumiza ila kuna wanawake kama huyo Morg wanatoa malalamiko wakat kumbe wao nidio viruka njia nani atamvumilia mwanamke kama huyu?
Kila aina za mboo anazijua na utendaji wake sasa huyu mwanamke au kahaba?

Inatosha sasa jamani!
Inatosha !
Amekuelewa
Umeeleweka!
Take a sip muache Dada wa watu aishi maisha yake!
Mwili ni wake
Anautumia kadiri atakavyo
Dhamiri yake haikuhusu
Ana utashi wake!
We we ni nani mpk umhukumu kiasi hiki?
Kwa kiiipi hasa unajipa mamlaka ya kum attack huyu kila thread?
We ni msafi kiasi gani?
Una mangapi unayojua yanakutofautisha na hiki unachoamini huyu ndicho alivyo?
A cha hizo asee!
 
Last edited by a moderator:
Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki amechoka na amekongoroka kabisa huyo"

Kumbuka hapa kuna wanawake wengine hata ukikutana nae na asipokuambia ana mtoto huwezi jua, anajipenda na ni mrembo wa kuvutia na mwenye maendeleo.

Wanaume wengi sana wanaona hana thamani, na wengine kusema ni wameshindikana walikotoka yaani na jaamaa aliyezaa nae.Tukumbuke NOT EVERYMAN MEANT TO BE A DADY, kuna wengine ni waharibifu tu, pengine pia tofauti za maisha zinazotokea zinapelekea yote hayo kutokea, Watu hawaelewi...

Single moms haimaanishi hawatakiwi kuwa na mahusano mengine mapya labda na mwanaume ambaye hana mtoto, wengi hudhani ukijitumbukiza hapo basi utalea mtoto.

Jamani kuna watu wanauwezo wa kutake care ya watoto wao bila msaada, jiulize kabla yako nani alikuwa anamsaidia kama sie mwenyewe. Ni faraja na upendo tu anahitaji kutoka sehemu nyingne.

Hawa watu haimaanishi waolewe au wawe na mahusiano na wanaume ambao nao wanawatoto...eti sababu wasaidane kulea... Tena na zile familia zikisikia kijana anasema "nina mwanamke ila ana mtoto" moto unawaka, jamani jamani? Huu si ubaguzi lakini?

Mwenye mawazo hayo wewe ni katili na mbinafsi kabisa. Na ndo maana inafikia hatua wanaume mnafichwa mnakuja kutambua kwamba ana mtoto imepita hata miaka 10, halafu unalaumu oooh hakuniambia. Hakukuambia kwasababu anajua mtazamo wenu kwao...

Mimi naomba tu niwaambie ndugu Kaka zangu, wadogo zangu, Mwanamke aliyezaa ni sawa na wengine tu, tena bora yeye kazaaa anajua ana kizazi, kuliko hao wasiozaa na wanaokesha kila siku kutafuta watoto kwa waganga..

Mimi mwenyewe ni mfano mzuri, nimepata unyanyasaji sana na wanaume, pale nilipokuwa nawaambia nina mtoto, wengine walishia kimya kimya, wakidai eti tuna kawaida ya kupasha kiporo na mzazi mwenza HIYO NI UONGO NA FIKRA MBOVU ZA WATU
Na kamwe sikuweza kuficha kama sina mtoto kwasababu najua nini maana ya mtoto. Mtoto ni zaidi ya thamani ya vitu ulivyonavyo ndani...
Tena wanawake ambao mmekutana na haya wala msifiche ukweli, Mwanaume akikimbia ujue mungu kakuepushia jambo.

WANAUME HEBU TOENI NA MBADILIKE NA HIZO IMANI AMBAZO SIO...

Swali lolote linakaribishwa... Asanteni

pole dadaa, najua yamekusibu, nivigumu sana kushawishi mwanaume fresh kwa points hizo labda wanaume used.
 
Kuoa mwanamke mwenye mtoto/watoto ni kujitafutia matatizo ya kisaikolojia na kafya bila kujua.Mwanamke mwenye mtoto hafai hata kidogo make wengi wao ni wabaya wa tabia.WASIMBE NOMAAAA!!!!!.
 
Nilitokana na njia ya baba na mama kukutana kimwili. Mazingira ya kukutana kwao hayanihusu mimi wala wewe maana kwa Mungu haya-count, bali kwa wanadamu tu.

mkuu NANDERA hivi unapata wapi muda wa kujibizana na huyu jamaa...watu wameshampotezea toka mwanzoni wma hii thread..amejaa mno negativity...
 
Last edited by a moderator:
mwanaume yeye ata kama ana mtoto 1 nje sio rahisi kuo mwanamke aliyezaa huwa tunchekwa na wenzetu kama tumeoa mzee ila uwa tunaweza waoa kama wanatuzidi maisha tena kwa kiwango kikubawa sana vinginevyo bora nioe hata aliyetoa mimba lakin sie mtoto
 
alafu ukweli unabaki palepale mwanamke mwenye mtoto hua ametanuka shimo nanihi upwaya kama si mtaaram hurizi na chuchu nazo huwazimesha haribika tunaona bora mi ndio nimzeeshe mwenyewe kuliko kukuta kisha zeeshwa matiti ndala
 
mkuu sorry kwa kukuumiza ila kuna wanawake kama huyo Morg wanatoa malalamiko wakat kumbe wao ndio viruka njia nani atamvumilia mwanamke kama huyu?
Kila aina za mboo anazijua na utendaji wake sasa huyu mwanamke au kahaba?

Hivi unajuaje kama #morg ni kiruka njia au kama ni single mom?
Kwann tunapenda kuhukumu sana?
UKo too negative mkuuu
 
Last edited by a moderator:
alafu ukweli unabaki palepale mwanamke mwenye mtoto hua ametanuka shimo nanihi upwaya kama si mtaaram hurizi na chuchu nazo huwazimesha haribika tunaona bora mi ndio nimzeeshe mwenyewe kuliko kukuta kisha zeeshwa matiti ndala

Taahira ww
 
mmh

kuna comments za watu humu mpaka nashangaa wamelelewa familia za aina gani
 
Hivi unajuaje kama #morg ni kiruka njia au kama ni single mom?
Kwann tunapenda kuhukumu sana?
UKo too negative mkuuu

ww jamaa hao wamekuahidi papuchi nn unahuakika gani kama nafahamiana naye au sifahamiani naye?!
Acha kujipendekeza sana mku naona koment zako nikuwatetea tu
 
alafu ukweli unabaki palepale mwanamke mwenye mtoto hua ametanuka shimo nanihi upwaya kama si mtaaram hurizi na chuchu nazo huwazimesha haribika tunaona bora mi ndio nimzeeshe mwenyewe kuliko kukuta kisha zeeshwa matiti ndala
Kuandika kwenyewe hujui itakuwa kut.omba?
Kweeendrah!
 
Mtoa mada kwanza maneno yako nadhani pia yanachangia kuwafukuza hao wanaume.
Nami nimepitia kwenye suala km hili. Nilikutana na binti chuo tukapendana kweli baadae tukatambulishana kwa wazazi baadae akaja kuniambia kuwa aliwahi kuzaa na mtu ila ni ktk ujana ila hawakuona na walishindwana na mtoto yupo manyara kwa baba yake na binti kwao ni Arusha. Sasa likizo akawa anaenda kumsalimia mtoto eti akaniambia alikuwa anafikia kwa ndg yake ila nikatonywa na tukaachana baada ya miezi 3 nasikia ndoa imetangazwa kati ya wazazi hao nikachoka.
 
Haya mambo bwana yana namna,ila mwanamke aliyezaa ni mtamu sn.Sema watu wanawachukulia tofauti tu.Me nawapenda kwakweli.
Mleta uzi katoa mada kwa huzuni sn.
 
Haya mambo bwana yana namna,ila mwanamke aliyezaa ni mtamu sn.Sema watu wanawachukulia tofauti tu.Me nawapenda kwakweli.
Mleta uzi katoa mada kwa huzuni sn.

Unawapenda kwa kuoa au kubanjua tu?
 
mmh

kuna comments za watu humu mpaka nashangaa wamelelewa familia za aina gani

...wakati mwingine inabidi mwallu, usione Haya kusema kitu, kama Ni dhambi iite kwa jina lake, usiipake rangi!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom