Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
Wewe ni mjinga wa mwisho kabisa kwa sababu hapo umesadiki pasi na msingi wowote ule kwamba mimi sijawahi kufika kwenye hizo nchi ulizozitaja. Hujui nimefika wapi na wapi hapa duniani kwa hiyo acha kuandika kana kwamba unajua. Hujui.



Kwa hiyo?



Hujui ninapoishi. Kaa kimya. Fukufuku wee.

nakubali mimi ni mjinga wa mwisho kwa sababu mjinga wa kwanza ndio mjinga zaidi ambaye ni wewe.

pili sina haja ya kujuwa unapoishi hainisaidii, ungefika hata siku moja Japan usingekuwa na akili za kitumwa hizi.

sasa ndio nimeamini kauli ya waziri mkuu wa Japan kuhusu kushuka kwa iq ya wamarekani inatokana na kuchanganyana na half baked kama nyinyi.
 
Kwa ishu hii ni kama vile BigG aka chewing gum, imetafunwa wee imekuwa nyeupee imeisha sukari, sasa ndio watemewa na wewe ule, wakati ulishanyimwa kabla.
I m just Joking.

Duuuu with MNA Imani za ajabu sana
 
ww bwana usitake kila mwanaume awe na mawazo kama yako na mtazamo kama wako, ndio maana mwingne huanza na gari na mwingne huanza na nyumba.
Sasa ww usiilazmishe akili yangu ikubali mawazo ya kishenzi kama yako.
Kwa mtazamo wako ww inaonesha upo tayar hata kulelewa familia yako na mwanaume mwenzako wakat ww upo hai bado.
:::::::::::: kila mtu na aonavyo yeye, ndio maana kuna watu wanajiita wanaume wakat huo wanapigania na kulilia kuolewa na wanaume wenzao lakin nao ni wanaume na wanajiona wako sahihi kabisa hata ww siwez kukushangaa ukisifia upuuzi kama huo siwez kujua upo kundi gan la wanaume:::....

Shukran kwa matusi but sihitaj kutumia nguvu nyingi kujulazimisha ukubali na wala haitakaa nikulazimishe
Nafikiri kama una busara na utashi basi vikuongoze katika haya
 
nmegundua jambo lingne ww bado hujakua na kufikia umri wa kuoa na hujajua changamoto mwanamke aliyezalishwa na ambaye hajazalishwa.
Ukifikia umri huo na kuziona hizo changamoto utakuja kuniambia.
Kama unataka kujua kaa na watu wazma wazee wakwambie.
Kulea mtoto wa mtu mwingne kunahitaji busara zaid ya ujuavyo ww.
Usikir kutoa ada na malazi ndio hayo pekee kuna shughuli ya kumjenga kitabia na maadili utakayo ww hapo ndio maneno ya anamnyanyasa kwasababu sio wake ndipo huanzia na usiommbe mama yake na yeye kama hazmtoshi ndio balaa

Unatumia nguvu nyingi sana kutulazimisha uonekane unajua and now u r insulting me just because I have different perception and the right one ofcoz?
Okay kila la Kheri bwana "much know"
 
ukiona wanakukimbia, tatizo si mtoto peke yake, kuna jingine ...

Hasa jamaa akisema anakuja kumsalimia mtoto ndio balaa linapo anza. This is too complex..... Inaumiza sana...
 
Ni kweli unachosema, mimi huwa nasema tenda wema uende zako... kuna saa watoto wa kambo mtihani ndugu yangu... kila unalofanya linaangaliwa kwa jicho la "mama wa kambo". Even with our own kids we make mistakes sasa omba kwa mola wako usije ukafanya kitu kikawa ni a mistake na kinamhusu mtoto wa kambo. Utajuta!

Uko sahihi kabisa....Lakini pia mwisho wa siku lazima kuwe na ushirikiano wa wahusika wakuu, mama mlezi, mtoto, mama yake mzazi na baba wa mtoto (na bahati mbaya mara nyingi huu ushirikiano huwa haupo). Mama mlezi akiwa mstaarabu, basi mama mzazi ujue ni petrol, akirushiwa njiti analipuka! Na huyu mlipukaji ndio anayemjaza maneno baba mzazi, kwa hiyo full mchanganyiko...Na mama mzazi akiwa mstaarabu, ndani ndio kuna full step mother!
 
ww ndio upewe ufahamu kuwa kuzini nje ya ndoa ni dhambi.
Ww mwanamke hatari sana unajifariji wakat ww ni mzinzi!
Kipindi cha sheria ya Mussa ulistahili upigwe mawe hadi kufa.

Kwa yeyote anayedhani Kwamba yy c mzinzi na anyanyue jiwe ampige huyu mama,shame on u unamuita mwenzako mzinzi ,we una usafi gani?
 
cha muhim sana hawez kukuheshimu na kukufanya her hero kwa kumzalisha mtoto to make her mom for the first time in this world!!!! the first guy to do it get all the credit katu staki nataka niwe wa kwanza kumfanya mtu awe mom.

kama ni mwenye mtoto plz atafute mwenye mtoto mwenzake so kila mmoja ashakua hero kwa mtu b4 sio kunizuga, binafsi hata kama nna pesa zaid ya uyo aliyemzalisha na hata kama atakua haend chukua matumiz its ok but i will never b her hero thats hurts!!!
 
ww vp mbona unatoka povu?
Au ulizaliwa na single mom nn. Hatutaki sasa kuoa single mom sababu hawajatulia walikuwa viruka njia

Aisee. Umefanikiwa kuurarua moyo wangu maana mimi ni mtoto wa single mom. Asante sana.
 
ww ndio upewe ufahamu kuwa kuzini nje ya ndoa ni dhambi.
Ww mwanamke hatari sana unajifariji wakat ww ni mzinzi!
Kipindi cha sheria ya Mussa ulistahili upigwe mawe hadi kufa.

Point of correction: si kila single dad and mom alipata mtoto nje ya ndoa. Kuna waliopata watoto ndani ya ndoa, ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao ndoa zilivunjika au walitenganishwa na vifo. Pia kuna waliopata watoto nje ya ndoa kwa hiyari au kwa kubakwa au kubambikwa lakini yote katika yote hakuna anayestahili hukumu.
 
Wako matured na wanaelewa maisha sana kuliko masista duu!!!!!
Mnaweza kukaa na kushauriana kuliko mtu asiyejua hata bei ya diaper!!!
Hawana shobo na vitu vidogo au mambo ya fancy..wako kimaisha zaid!!!!!
Wengi wakikuambia "I love you" wanamaanisha!!!!!

Tatizo moja kubwa kwenda mbele na kurudi nyuma kihisia yaani kuna kipindi anaweza tu kuwa na hisia kuwa na wewe iko siku utamuumiza au kumtelekeza basi atakuwa mnyonge ghafla...anapoteza furaha just kwa kuhisi tu (wengi)!!!!!!!!!!

Wanahitaji sana assurance na kukumbushwa wanapendwa na kuthaminiwa no matter what happened in the past!!!!!!
They can be reliable friends!!!!
You have touched my heart….
 
Mi nashangaa sana people single mamys aimanish walishindikana bfore wapo ambao wanaume ndio wamewatenda mpaka kufikia kuseparate,so mtoto sio tatizo la wewe mwanaume kuanzisha mahusiano mapya ma alie kuwa single mama

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Point of correction: si kila single dad and mom alipata mtoto nje ya ndoa. Kuna waliopata watoto ndani ya ndoa, ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao ndoa zilivunjika au walitenganishwa na vifo. Pia kuna waliopata watoto nje ya ndoa kwa hiyari au kwa kubakwa au kubambikwa lakini yote katika yote hakuna anayestahili hukumu.

umesema ww ni product ya single mom so ulitokana kwa njia ipi kat ya hizo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom