UNA BUSARA SANA ANKAL ANGU....
HIVI NINI KINAPELEKEA SINGLE MUM KAMA SIO WANAUME KUKWEPA MAJUKUMU YAO NA KUKATAA MIMBA???
KWANI HIZO MIMBA WANAJIPA WENYEWE, NINYI MNAODHIHAKI NA KUBEZA SINGLE MUMS, MARA NGAPI MMESHIRIKI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUSABABISHA SINGLE MOM WALIO HAI NA WALIOKUFA???
KUNA WANAWAKE WANAABORT BILA KUWAPA TAARIFA WANAUME ZAO...
MY TAKE: MSIJIFANYE KUBEZA SINGLE MUMS WAKATI MNASHABIKIA MICHEPUKO, MKIEAPA MIMBA HAO WANAWAKE MNA UWEZO WA KUWAOA SECOND WIVES???
"Usimcheke mkunga uzazi ungalipo"
Nishatoa #235 #
Am proud of single parent
Wana historia ndefu sana most of them
Wanawake wengi walio sigle mom ni mashujaa cos wanapata changamoto nying, mate so, jamii kumuona Malaya nk
Ila watu hawajui kuna Malaya wa chini chini kbaoooooooo
Bora kuoa single mom ambaye unaona sprepa...used...kashusha injini nk au kuoa hawo mabint single walotoa
Mimba kibao..wametembea na watu kbao nk?
Tusiwakashifu single mom while hujui kisa chochote...
Hao wanaopenda waje washuhudie kama kwenye familia zao/ ukoo/ ndugu ambao ni single mom/ parent au wanaume walokana mimba...
Mzima wewe tunAkesha hapa hapa kwa kweli
na hivi wekend imeanza
UNA BUSARA SANA ANKAL ANGU....
HIVI NINI KINAPELEKEA SINGLE MUM KAMA SIO WANAUME KUKWEPA MAJUKUMU YAO NA KUKATAA MIMBA???
KWANI HIZO MIMBA WANAJIPA WENYEWE, NINYI MNAODHIHAKI NA KUBEZA SINGLE MUMS, MARA NGAPI MMESHIRIKI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUSABABISHA SINGLE MOM WALIO HAI NA WALIOKUFA???
KUNA WANAWAKE WANAABORT BILA KUWAPA TAARIFA WANAUME ZAO...
MY TAKE: MSIJIFANYE KUBEZA SINGLE MUMS WAKATI MNASHABIKIA MICHEPUKO, MKIEAPA MIMBA HAO WANAWAKE MNA UWEZO WA KUWAOA SECOND WIVES???
"Usimcheke mkunga uzazi ungalipo"
na hivi wekend imeanza
Hahaha kweli Kabisa watu wamewaacha watoto mikoani wanakula raha miiini na kusema hawana watoto. Mungu akinibariki mtoto ninaahidi kuwa proud nae in anyhow. Kwa mtonyo gani hasa nimkane mwanangu???
Hahaha kweli Kabisa watu wamewaacha watoto mikoani wanakula raha miiini na kusema hawana watoto. Mungu akinibariki mtoto ninaahidi kuwa proud nae in anyhow. Kwa mtonyo gani hasa nimkane mwanangu???
ukiishiwa bando toa taarifa mapema tusaidie uwepo uendelee
me & u my chwity chwiity tunaenda sambamba.....Baby don let me down ishaanza na tarehe bado nzuri kwa lile kundi la kupokea
me & u my chwity chwiity tunaenda sambamba.....
miss neddy njoo tubonge ....hahaha
Soda pia unakunywaga?