UNA BUSARA SANA ANKAL ANGU....
HIVI NINI KINAPELEKEA SINGLE MUM KAMA SIO WANAUME KUKWEPA MAJUKUMU YAO NA KUKATAA MIMBA???
KWANI HIZO MIMBA WANAJIPA WENYEWE, NINYI MNAODHIHAKI NA KUBEZA SINGLE MUMS, MARA NGAPI MMESHIRIKI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUSABABISHA SINGLE MOM WALIO HAI NA WALIOKUFA???
KUNA WANAWAKE WANAABORT BILA KUWAPA TAARIFA WANAUME ZAO...
MY TAKE: MSIJIFANYE KUBEZA SINGLE MUMS WAKATI MNASHABIKIA MICHEPUKO, MKIEAPA MIMBA HAO WANAWAKE MNA UWEZO WA KUWAOA SECOND WIVES???
"Usimcheke mkunga uzazi ungalipo"
kwi kwi kwi sio joka la kibisa weye wakae mbali huchelewi kumeza mtu
kwi kwi kwi sio joka la kibisa weye wakae mbali huchelewi kumeza mtu
kwa mtonyo wa shella ukumbini, wengine just to meet social norms
naam, hasa nikiwa na mrembo charminglady, soda aina ya bitter lemon..na samaki choma saafi kabisa
Khantwe, ulidhani sinywi soda?
we umeanza kuwa na kaelement ka uongo,mara hii umebakiz mb3?
Huyo nae ovyoooo utakaneje watoto wote hao?Umeona eeeh... Hii si ya kusimuliwa ni live aisee, kuna mmama niseme, alikuwa na watoto sita (wawili wa baba mmoja na wanne wa baba mbalimbali) But alikana hajawahi kuzaa hata mmoja. Mwanaume akamuamini na akamuoa!
Waache waendelee kudanganywa kuwa wanawake wanaowaoa ni mabinti. Ila kama wakikuta wana bikra hongera ila aise ya bikra 99% ni single mom hasa wauaji.....
yeah ni kweli mkuu....imenigusa mno....hadi miss neddy amenistukia...sometimes I am emotional kwenye baadhi ya sensitive issues, am just human u know....
Amenifundisha mume wetu...n