Singida: Diwani wa kata ya Iseke ajiuzuru

Singida: Diwani wa kata ya Iseke ajiuzuru

Rejao; Pole sana kwa mawazo finyu lakini ni ya kibinadamu!
Wenye mawazo finyu ni nyie!
Poleni sana, naona sasa hivi madiwani wanawakimbia tu, mwakani tutaanza kuona wimbi la wabunge wakiamia CCM!
Nyie vidagaa mtahamia kwenye sanduku la kura mkiipigia CCM!
 
Last edited by a moderator:
Jimbo la Singida Mashariki chini ya Tundu Lissu limeshuhudia kukua kwa haraka kwa huduma nyingi za msingi kuliko wakati mwingine wowote. Ndani ya muda mfupi,tayari wananchi wanajivunia kuwa naye. Ni mojawapo kati ya majimbo ambayo CCM wanayaogopa zaidi.,ni vigumu kwao hata kufanya mkutano wa siasa.. Wanaokuja na uongo kuwa Lissu hajafanya lolote wazingatie kwanza juhudi zake kuendeleza barabara, harakati za kuwatetea wananchi waliodhulumiwa ktk malipo ya mradi wa umeme., huduma za maji, matumizi wazi ya mfuko wa jimbo, na majukumu makubwa ya kuyafikisha mawazo ya wananchi wake bungeni,jukumu ambalo ndilo hasa waliomchagua walimkabidhi..

maendeleo gani yaliyoletwa na lissu zaidi ya migogoro na watoto kufaulu na kushindwa kwenda shule kwa sababu shule hazijakamilika.endelea kubishana hapa jf wakati madiwani wanazidi kukimbia na kukiacha chama
 
Mda si mrefu utasikia tundu lissu nae amebwaga manyanga, hatari sasa hii ndani ya chama
 
Weka source please lazima ingeshatangazwa na TBCccm hahaha
Aliyekuwa Mh. Diwani kata ya Iseke Tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi AMOS RUBEN MUGHENYI CHADEMA ameamua kujiuzulu nafasi hiyo kutokana sera za CHAMA za kutokuchangia maendeleo zilizoanzishwa na cdm.
 
yamkini kuna kitu hapo utakumbuka sababu zilizo sababisha diwani aliye jiuzuru huko Rombo
 
Dr.Kiltila ameshaimaliza nguvu thread hii.Amesema Diwani husika hatoki Jimbo la Lissu.Kwahiyo,mtoa mada alitaka kutupotosha.Asante Dr.Kitila Mkumbo(PhD)
 
amos mughenyi aliekuwa diwani wa kata ya iseke kupitia chadema amejiuzulu kwa madai kuwa amechoshwa na sera mbovu za chama hicho za kuwakataza wananchi kuchangia maendeleo kitendo kilichosababisha kudumaa kwa huduma za kijamii kwenye kata yake iliyopo wilaya ya ikungi jimbo la tundu lissu.
huwa ndo hapo nachokaga na chadema..kuna kijiji kuna mradi wa tasaf ... Wananchi jukumu lao lilikuwa kusaidi kusomba mawe kuweka kwenye lori ..wamekuja chadema wanawambia sio nyukumu lao kufanya hivyo ni serikalii...lakini sera ya tasafa wananchi wanapaswa kuchangia nguvu zao katika sehemu ya mradi lengo kuwafanya waone kuwa ile ni mali yao...wananchi waliposikia hilo ukweli walishanga sana na kuona cdm chama cha ajabu sana, kwanza wamezoea kushiriki katika shughuli za maendeleo ya kijiji..ukweli waliwazomea wale viongozi tena sana...
 
ww hutambui km nchi hii inaongozwa kwa kodi za wananchi au kodi ya kuchangia maendeleo sio michango?
Kama unamawazo ya namna hii kisha unajiita Mwl basi hiki ni kiroja.
Unafahamu tofauti ya kodi na michango?
 
Huyu atakuwa yupo kundi la masalia, hapari hizi zipeleke kwa ZITO, MWAMPAMBA, JULIAN,na MACHANGE, watakupongeza
 
Aliyekuwa Mh. Diwani kata ya Iseke Tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi AMOS RUBEN MUGHENYI CHADEMA baada ya kujihudhuru kesho atajiunga na Magamba. Kwa Habari nilizozithibitisha kutoka kwa mmoja wa wabunge wa CCM wa mkoa wa SINGIDA ni kwamba diwani huyo atajiunga na CCM kesho katika mkutano utakaofanyika Kibaha mkoani Pwani. Inaonekana ni mpango maalumu! Chadema inapaswa kuwa makini sana katika kipindi hiki.
 
Aliyekuwa Mh. Diwani kata ya Iseke Tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi AMOS RUBEN MUGHENYI CHADEMA baada ya kujihudhuru kesho atajiunga na Magamba. Kwa Habari nilizozithibitisha kutoka kwa mmoja wa wabunge wa CCM wa mkoa wa SINGIDA ni kwamba diwani huyo atajiunga na CCM kesho katika mkutano utakaofanyika Kibaha mkoani Pwani. Inaonekana ni mpango maalumu! Chadema inapaswa kuwa makini sana katika kipindi hiki.

hii haitupi shida cdm

Katoa mchango gani chadema? kenge lazima wajitenge bado masalia wa Zitto
 
Last edited by a moderator:
Huwa inaniudhi kauli ya 'tunaiomba serikali...'.Tutumie 'tunaitaka serikali'.Maendeleo ni wajibu wa gvt.Diwani hana wito
 
Galazilwa enzii. Ni wale tu wenye uwezo wa kuogelea wanaweza kuogelea na kuvuka mawimbi ya mabadiliko. Ukombozi hauji kwa mchezo. Watanzania wengine hawaelewi kuwa tuko chini ya mkoloni mamboleo na kutokana naye ni kazi kweli kweli. Wanadhani kuwaondoa hawa jamaa madarakani ni kazi rahisi sana. Ni wale tu wenye moyo wa kishujaa tutaweza kuvuka na kuwaondoa wala nchi yetu
 
Mda si mrefu utasikia tundu lissu nae amebwaga manyanga, hatari sasa hii ndani ya chama

mpaka sasa madiwani waliondoka CDM ni kama kumi mpango wao kila mkoa lazima diwani aondoke alfu wanakuja wabunge mwisho baba colin aka slaa anamaliza kazi aliyotumwa
 
Aliyekuwa Mh. Diwani kata ya Iseke Tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi AMOS RUBEN MUGHENYI CHADEMA ameamua kujiuzulu nafasi hiyo kutokana sera za CHAMA za kutokuchangia maendeleo zilizoanzishwa na cdm.


1. Hayo ni maigizo yaliyoasisiwa na mafisadi wa CCM, hivi ukame wote ulioko Ihanja watu hawana chakula ili waishi then unawaambia wachangie maendeleo wakati wakinunua mafuta ya taa,kiberiti,kanga,mswaki na vitu vyote wanachangia VAT,wanachangia mwenge,wanachangia Elimu,maji n.k,
2. leo unawaabia hawa maskini wachangie maendeleo wakati mtoto wa mshua anamiliki petrol station kama 100 hiv na wajombaze wametajwa katika mabilioni ya Uswisi.
3. Hata mm mwajiriwa nalipia VAT katika umeme,maji,mshahara nao nalipia kodi,nikinywa bia nalipia VAT,na wakati huo huo natakiwa nichangie eti maendeleo!!!!!!!!!!!.Hizo kodi zote zinztumikaje????????????.
4. Wananchi wamefumbuliwa macho sasa wamebaini kuwa nchi ya Tanganyika yenye umri wa miaka 51 tangu uhuru ni nchi yenye asali,maziwa,dhahabu,gesi,tanzanite,twiga wengi mpaka wengine wanapanda ndege.
5. Watanganyika 85% wanaishi katika matembe,vichuguu,mbavu za mbwa,misonge,nk then unawaambia wachangie maendeleo huu ni upuuzi na utombo wa kuku.
6. Watanganyika wengine waliohoji matumizi ya serikali waliambiwa,wale nyasi ili ndege ya mjomba inunuliwe,wengine waliambiwa wapige mbizi,wengine waliambiwa wana wivu wa kike,mabinti waliopata mimba shuleni waliambiwa wanaviherehere,wengine wakaambiwa waende motoni,kuzimu (go to hell).
 
Mda si mrefu utasikia tundu lissu nae amebwaga manyanga, hatari sasa hii ndani ya chama

Kumbe ukiwa memba wa masalia unageuka kuwa laana unaelezwa kwamba diwani ni wa chadema kutka jimbo La Singida magharibi sisi tulizani mgomvi wenu ni DR Slaa tu kumbe ni chadema nzima Kitila kakujibu hutaki sasa kichwa chako naona kina matatizo
 
mpaka sasa madiwani waliondoka CDM ni kama kumi mpango wao kila mkoa lazima diwani aondoke alfu wanakuja wabunge mwisho baba colin aka slaa anamaliza kazi aliyotumwa
Embu taja hizo kata manake unageuza wana JF hatuna akili mods ni vipi munaruhusu uongo kuwa ukweli vile vile taja na wa CCM walioenda chadema au unahesabu masalia waliotimuliwa nidhamu kwanza kabla ya umamuluki
 
Back
Top Bottom