Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,384
- 2,208
Taqbirr... Hili neno mi nalionaga limekaa kimautimauti tuhh..
Hivi maana yake nini!??
Ni kama tu kusema "Bwana Yesu Asifiweee" au "Haleluyaaa"
Taqbirr... Hili neno mi nalionaga limekaa kimautimauti tuhh..
Hivi maana yake nini!??
Mbona picha za basi ni takbiir na wewe unasema ally'sNi ajali imetokea pale Mgori njiapanda ya Igunga-Kiomboi.
Basi la Ally's coach limegongana na Canter.
Tumeipita hapo saa tisa mchana tunaelekea Shinyanga.
Sijaelewa ajari maana yake ni nini?Hujaelewa nn sasa hapo?wabongo bhna!!
Nikionacho alikuwa anakimbilia kuandika dereva wa fuso ni nduguyeNi habari njema lakini ulitakiwa uweke Tarifa ya awali Aina ya magali Vifo na Nk ,Sasa umeandika tunaelewa nini
Mwewe.Mbung'o ndo nini mkuu? Ama ni ungo?
Hilo ndio kubwa la yote. Tumtangulize Mungu katika kila tulifanyalo.Yote katika yote ni kuomba Mungu tu.
Ndege ikipata hitilafu wote mnakua mizoga. Basi likipata ajali (kama hapo juu) wanakufa watatu, arobaini na saba wanapona.Yes dear. Lakini sijasema kwenye ndege hupati ajali. Ila ukifanya risk assessment kwenye gari risk ni kubwa kuliko kwenye ndege. Ndio ilikuwa point yangu.
Pasi hiyo wewe. ingekua head-to-head basi lingepondeka kwa mbeleHead to head hiyo,sio pasi, hapo vifo lazima viwepo vya kutosha tu.ajali mbaya sana hii.
Kipi ni likely kupata ajali kiurahisi? Without a doubt ni gari. So still risk ya kupanda gari ni kubwa sana kuliko ndege.Ndege ikipata hitilafu wote mnakua mizoga. Basi likipata ajali (kama hapo juu) wanakufa watatu, arobaini na saba wanapona.
Nimestuka sana maana haya mabasi nayapanda mnoTakbir....Takbir.....duh ajali ajali mpaka lini?
Video hio hapoTaarifa ya vifo & majeruhi tafadhali
"BWANA ASIFIWE"Taqbirr... Hili neno mi nalionaga limekaa kimautimauti tuhh..
Hivi maana yake nini!??
Ulitaka liandikwe yesu NI mungu?Hilo jina la basi sasa TAKBIIR
Nataka kujua Kama madereva wameponaNiko safari nimepita apo pia nakushudia maiti kadhaa so sad
Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi .
Sent using Jamii Forums mobile app
AmenHilo ndio kubwa la yote. Tumtangulize Mungu katika kila tulifanyalo.