Singida: Ajali ya Bus la Takbiir

Singida: Ajali ya Bus la Takbiir

Kwa jinsi ajali ilivyo naona kuna LWANDA MAGERE mwingine alijaza kibuyu damu, so siku ya leo amevuna pesa kama zote hatari sana hii Mungu awaponye majeruhi wote na waliofariki wapumzike kwa amani.
 
Nashauri route za safari ndefu ziwe na ukaguzi maalam madereva huwa wanachoka wanataka kuwahi ndio matokeo yake hayo safari ya zaidi ya saa 15 dereva anasinzia tu.Mabasi ya dar to mwanza,mbeya to mwanza,dar to manyara,dar to shinyanga,dar to songea,mbeya to arusha huo mfano tu.
Kuna siku niko kwenye basi la hood toka dar to moro ilikuja basi nyuma yetu ya dar to manyara sikumbuki eneo ile basi ilikuwa inatuovateki sasa bahati mbaya mbele kulikuwa na semi trela inakuja ilibidi dereva wetu wa hood asaidie kwa kula pembeni ya barabara ili jamaa aweze kupenya pia jamaa wa semi trela nae ikabidi ale pembeni kwake ili jamaa wa basi apenye na ndio kilichosaidia vinginevyo ingekuwa ajali mbaya.
 
Poleni wahanga wa ajari hii. Inaonekana bus limehama kutoka kushoto kuja kulia upande wa lori wakapigana pasi. Poleni sana, madereva chukueni tafadhari.
Sidhani kama una leseni. Hilo basi liko upande sahihi kabisa sema mara baada ya ajali ndio imepoteza direction hiyo.
 
sasa unatoa kafara wenzio uwe tajiri, huo utajiri una maana gani sasa...kama wote tutaamua kutoa kafara binadamu wenyewe si wataisha sasa.... kwanini wasiwe wanatoa kafara ya mbuzi na ngo'mbe watu wanachoma nyama na bia....
kafala ya ng'ombe hela yake sio nyingi yale mavitu yanataka damu ya binadamu alafu binadamu hatuwezi kuisha manake kila siku watu wanachakatana so wanazaliwa watu kila siku na kila siku watu wanakufa ni nature mkuu
 
yaani kuna baadhi ya mabasi, nikilisoma tu huwa sikati ticket kabisa, ati basi linaitwa takbirr, na tunajua hiyo takbirr huwa inatajwa watu wakiwa kwenye mhemuko gani...., manake hapo ameamua walio na dini nyingine wasilipande kabisa hilo. hilo neno watu wengine linatutishaa.
 
Back
Top Bottom