Erick Kalemela
R I P
- Nov 19, 2017
- 815
- 1,021
Kuna Jamaa yngu yeye alikuwa kwenye Bus la Ally's amekuta ajali ya Bus la Takbiir linalofanya safari zake kati ya Geita na Dar es salaam likiwa limepata ajali Mkoani Singida, kona ya Hingu
Kama una ndugu au Jamaa ambaye alikuwa anasafiri leo naomba ufanye mawasiliano.
Bus lilikuwa linatoka Geita kuelekea jijini Dar es salaam. Taarifa Rasmi bila shaka itatolewa na mamlaka husika
Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi Majeruhi wote waweze kupona