Bad Man Tivu
JF-Expert Member
- Jan 16, 2019
- 388
- 423
Hujaelewa nn sasa hapo?wabongo bhna!!Ajari ?????
Hujaelewa nn sasa hapo?wabongo bhna!!Ajari ?????
Yes dear. Lakini sijasema kwenye ndege hupati ajali. Ila ukifanya risk assessment kwenye gari risk ni kubwa kuliko kwenye ndege. Ndio ilikuwa point yangu.Ajali popote
Ndo Wabongo walpofkia mkuu hata usishangae,huu ujuaji wanaoleta wangeupeleka kwenye mambo muhm kwenye jamii tungekuw taifa bora sanaDuh aseee
Habari njema? 😟Ni habari njema lakini ulitakiwa uweke Tarifa ya awali Aina ya magali Vifo na Nk ,Sasa umeandika tunaelewa nini
Tunashukuru kwa taarifa ila siku nyingine andika taratibu mkuu. Ni "AJALI na siyo AJARI"R I P wote mliotutoka leo ajari imetokea leo singida Basi kampuni ya TAQBIR limegongana na roli aina ya fuso dereva wa hyo fuso no ndugu na mimi View attachment 2007122View attachment 2007123View attachment 2007124
Inategemea bahati yako ipoje regardless of the extent ya risk.Yes dear. Lakini sijasema kwenye ndege hupati ajali. Ila ukifanya risk assessment kwenye gari risk ni kubwa kuliko kwenye ndege. Ndio ilikuwa point yangu.
Ulitaka kuandika nini kwani?Tyiping error
Yes i know. But the probability of an accident happening ukiwa unatumia road transport ni kubwa kuliko air transport. Sababu zipo wazi.Inategemea bahati yako ipoje regardless of the risk.
Road transport is more riskier than air transport lakini sometimes haya mambo kama betting tu.
Head to head hiyo,sio pasi, hapo vifo lazima viwepo vya kutosha tu.ajali mbaya sana hii.Poleni wahanga wa ajari hii. Inaonekana bus limehama kutoka kushoto kuja kulia upande wa lori wakapigana pasi. Poleni sana, madereva chukueni tafadhari.
Niko safari nimepita apo pia nakushudia maiti kadhaa so sad
Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbung'o ndo nini mkuu? Ama ni ungo?Risk ni kubwa sana kusafiri kwa bus. Bora nitafute hela niwe nakwea mbung'o tu chap. Risk ya ajali kwenye mbung'o ni ndogo kuliko bus unalokalia masaa zaidi ya 12.
Yote katika yote ni kuomba Mungu tu.Yes i know. But the probability of an accident happening ukiwa unatumia road transport ni kubwa kuliko air transport. Sababu zipo wazi.
1. Muda unaotumika katika safari (relationship ya distance na time)
2. Miundombinu (barabara mbovu).
3. Watumiaji barabara wengine.
4. Wear and tear
Risk ni kubwa sana by road.