Singh Seth na Rugemarila kuachiwa?

Singh Seth na Rugemarila kuachiwa?

Ruge anavyozidi kukonda Rosary utasema imetundikwa kwenyee muanzi,Singasinga kitambi kinazidi kurudi kilipotoka.
 
Kwenye mahojiano lisu amesema matajiri wanafungwa na wakikubali kutoa hela wanaachiwa...siri imefichuka wanaanza kuachiwa
 
Back
Top Bottom