Suala hili lilikosewa tangu awali na kwa bahati mbaya wataalam wa sheria walinyamaza kimya. Niliwahi kuongea humu jamvini kuwa aliyesababisha yote haya ni mzee ruge ambaye alikuwa anadhulumiwa hata dividents zake kwenye gawio lake halali. Mzee Ruge ndiye aliyewashtake wabia wenzake na sisi tukampaka majina yote kwa sababu ya ushabiki tu.Habari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,
Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka ndani, mpaka mzee Rugemalila ukimuangalia huwezi kumjua, Sing ndo kitambi chake kimeisha kabisa,
Naambiwa kutokana na IPTL kuwashinda Tanesco ni nguvu kwa Kina Rugemalila na Singh Seth,
Ukirejea matamshi ya Jakaya kikwete ambaye amekuwa waziri wa nishati na madini kipindi mkataba uo unasainiwa alafu akawa Rais, na kusema kwamba Hela za Escrow si zetu ni za kina Rugemalila na Seth kuna mengi alikuwa kayaona,
Mdokezo
Itakuwa ni makubaliano na serikali kuwataka wafungue kesi ya kugombea IPTL dhidi ya Stan Chart HGK. Kuna kosa la kisheria kwa mtambo wa IPTL kuwekwa dhamana katika mkopo ambao Stan Chart HGK iliutoa kwa Mechma bila kushirikisha Rugemalira. Kisha kuna madai ya Sethi Singh kuwa ana miliki hisa na ana nakala halisi za hisa za IPTL. Kwa njia hii Serikali itakuwa imeamua kuwatumia hawa wawili on condition ya kuwachia ila wao watumike.
Ngoja nione kama itakuwa kweli watatoka, maana aliyeniuma sikio si wa mchezo
Muda ni rafikiHabari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,
Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka ndani, mpaka mzee Rugemalila ukimuangalia huwezi kumjua, Sing ndo kitambi chake kimeisha kabisa,
Naambiwa kutokana na IPTL kuwashinda Tanesco ni nguvu kwa Kina Rugemalila na Singh Seth,
Ukirejea matamshi ya Jakaya kikwete ambaye amekuwa waziri wa nishati na madini kipindi mkataba uo unasainiwa alafu akawa Rais, na kusema kwamba Hela za Escrow si zetu ni za kina Rugemalila na Seth kuna mengi alikuwa kayaona,
Mdokezo
Itakuwa ni makubaliano na serikali kuwataka wafungue kesi ya kugombea IPTL dhidi ya Stan Chart HGK. Kuna kosa la kisheria kwa mtambo wa IPTL kuwekwa dhamana katika mkopo ambao Stan Chart HGK iliutoa kwa Mechma bila kushirikisha Rugemalira. Kisha kuna madai ya Sethi Singh kuwa ana miliki hisa na ana nakala halisi za hisa za IPTL. Kwa njia hii Serikali itakuwa imeamua kuwatumia hawa wawili on condition ya kuwachia ila wao watumike.
Ngoja nione kama itakuwa kweli watatoka, maana aliyeniuma sikio si wa mchezo
Cha moto ni kwao au kwetu?
Itakuwa wameshapukutishwa ukwasi wao, Jiwe yuko vizuri sana kwenye kudeal na matycoon, ila tatizo huo mpunga sijui unaenda kwenye account ipi?Wanaachiwa soon
Watapigwa mawe??Labda kama nia ni kuwaua lakini kwa hapa walipofika huku wenzao kibao wakiachwa mjini wanatanua ...Mungu ni wa sote jamani
walikuwa wana fanana na malaika hivi sasa wana fanana kama shetani nadhani ni muda muafaka wa kuwaachia huru tuu.Habari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,
Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka ndani, mpaka mzee Rugemalila ukimuangalia huwezi kumjua, Sing ndo kitambi chake kimeisha kabisa,
Naambiwa kutokana na IPTL kuwashinda Tanesco ni nguvu kwa Kina Rugemalila na Singh Seth,
Ukirejea matamshi ya Jakaya kikwete ambaye amekuwa waziri wa nishati na madini kipindi mkataba uo unasainiwa alafu akawa Rais, na kusema kwamba Hela za Escrow si zetu ni za kina Rugemalila na Seth kuna mengi alikuwa kayaona,
Mdokezo
Itakuwa ni makubaliano na serikali kuwataka wafungue kesi ya kugombea IPTL dhidi ya Stan Chart HGK. Kuna kosa la kisheria kwa mtambo wa IPTL kuwekwa dhamana katika mkopo ambao Stan Chart HGK iliutoa kwa Mechma bila kushirikisha Rugemalira. Kisha kuna madai ya Sethi Singh kuwa ana miliki hisa na ana nakala halisi za hisa za IPTL. Kwa njia hii Serikali itakuwa imeamua kuwatumia hawa wawili on condition ya kuwachia ila wao watumike.
Ngoja nione kama itakuwa kweli watatoka, maana aliyeniuma sikio si wa mchezo
Hapo sijuiItakuwa wameshapukutishwa ukwasi wao, Jiwe yuko vizuri sana kwenye kudeal na matycoon, ila tatizo huo mpunga sijui unaenda kwenye account ipi?
Tofauti ya singh/ruge na Mo' ni kuwa "Mo alitekwa akalazimishwa atoe sehemu ya utajiri wake kwa genge LA kina jiwe. Hawa wako mahabusu kwa shariti LA kutoa mpunga mrefu kwa genge LA jiwe ili waachie huruHabari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,
Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka ndani, mpaka mzee Rugemalila ukimuangalia huwezi kumjua, Sing ndo kitambi chake kimeisha kabisa,
Naambiwa kutokana na IPTL kuwashinda Tanesco ni nguvu kwa Kina Rugemalila na Singh Seth,
Ukirejea matamshi ya Jakaya kikwete ambaye amekuwa waziri wa nishati na madini kipindi mkataba uo unasainiwa alafu akawa Rais, na kusema kwamba Hela za Escrow si zetu ni za kina Rugemalila na Seth kuna mengi alikuwa kayaona,
Mdokezo
Itakuwa ni makubaliano na serikali kuwataka wafungue kesi ya kugombea IPTL dhidi ya Stan Chart HGK. Kuna kosa la kisheria kwa mtambo wa IPTL kuwekwa dhamana katika mkopo ambao Stan Chart HGK iliutoa kwa Mechma bila kushirikisha Rugemalira. Kisha kuna madai ya Sethi Singh kuwa ana miliki hisa na ana nakala halisi za hisa za IPTL. Kwa njia hii Serikali itakuwa imeamua kuwatumia hawa wawili on condition ya kuwachia ila wao watumike.
Ngoja nione kama itakuwa kweli watatoka, maana aliyeniuma sikio si wa mchezo
JustifyTofauti ya singh/ruge na Mo' ni kuwa "Mo alitekwa akalazimishwa atoe sehemu ya utajiri wake kwa genge LA kina jiwe. Hawa wako mahabusu kwa shariti LA kutoa mpunga mrefu kwa genge LA jiwe ili waachie huru
Labda ni account ya standard gauge na bwawa la kufua umeme la Rufiji.Kwani nimesikia zaidi ya mara mmoja akisema pesa za miradi anayo,na mara nyingine alisema atajenga miundo mbinu kutumia pesa za mafisadi.Itakuwa wameshapukutishwa ukwasi wao, Jiwe yuko vizuri sana kwenye kudeal na matycoon, ila tatizo huo mpunga sijui unaenda kwenye account ipi?
Ziara ya JK ikulu hapo majuzi itakuwa imebeba mengi.Hapo sijui
HakikaAcha Tuone
Safi sana ikiwa litakuwa deal la maana. Lazima tutumie kila silaha kulinda maslahi ya nchi.Habari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,
Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka ndani, mpaka mzee Rugemalila ukimuangalia huwezi kumjua, Sing ndo kitambi chake kimeisha kabisa,
Naambiwa kutokana na IPTL kuwashinda Tanesco ni nguvu kwa Kina Rugemalila na Singh Seth,
Ukirejea matamshi ya Jakaya kikwete ambaye amekuwa waziri wa nishati na madini kipindi mkataba uo unasainiwa alafu akawa Rais, na kusema kwamba Hela za Escrow si zetu ni za kina Rugemalila na Seth kuna mengi alikuwa kayaona,
Mdokezo
Itakuwa ni makubaliano na serikali kuwataka wafungue kesi ya kugombea IPTL dhidi ya Stan Chart HGK. Kuna kosa la kisheria kwa mtambo wa IPTL kuwekwa dhamana katika mkopo ambao Stan Chart HGK iliutoa kwa Mechma bila kushirikisha Rugemalira. Kisha kuna madai ya Sethi Singh kuwa ana miliki hisa na ana nakala halisi za hisa za IPTL. Kwa njia hii Serikali itakuwa imeamua kuwatumia hawa wawili on condition ya kuwachia ila wao watumike.
Ngoja nione kama itakuwa kweli watatoka, maana aliyeniuma sikio si wa mchezo
Utawala wa sheria uko wapi?