AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,074
- 3,643
Yes.
Way back tulishajua watakuwa huru.
Free at last
Huo ndo ukweli na uhakika!Ukitaka kuwafunga Rughe na Seth basi ni lazima pia uwafunge na waliodhinisha hizo fedha zitoke Benki Kuu na maadam waliodhinisha hizo fedha zitoke hawatakiwi kuguswa, ni wazi hapo hamna kesi na kuwashitaki zilikuwa ni mbwembwe tu za kutafuta sifa za kisiasa.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mno, unakashifu taasisi za watu bila sababu. IPTL wizi wake umefanikiwa chadema ikiwa madarakani au!. Jifunze mijadala sio maneno ya kwenye kanga hapa jamvini, mna sehemu yenu!
Aaah wapi,labda sio nchi za ushenzini.Kwa wenzetu huwezi wekwa ndani kisha uchunguzi ndo uanze,ushapotezewa mda.Ilitakiwa ushahidi kamili kwanza then MTU achomoki.Ushahidi unakamilika kwanza then ndo MTU anakamatwa
Habari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,
Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka ndani, mpaka mzee Rugemalila ukimuangalia huwezi kumjua, Sing ndo kitambi chake kimeisha kabisa,
Naambiwa kutokana na IPTL kuwashinda Tanesco ni nguvu kwa Kina Rugemalila na Singh Seth,
Ukirejea matamshi ya Jakaya kikwete ambaye amekuwa waziri wa nishati na madini kipindi mkataba uo unasainiwa alafu akawa Rais, na kusema kwamba Hela za Escrow si zetu ni za kina Rugemalila na Seth kuna mengi alikuwa kayaona,
Ngoja nione kama itakuwa kweli watatoka, maana aliyeniuma sikio si wa mchezo
Imekusaidia nini wao wakiteseka acha roho ya kichawi
IPTL iliyoshinda TANESCO ni ipi? Hii ya akina Rugemalira na Singh Sethi au Mechma na Stan Chart HKG? Unatakiwa kuielewa mantiki ya kuwaanchia iwapo Serikali itafanya hivyo. Itakuwa ni makubaliano na serikali kuwataka wafungue kesi ya kugombea IPTL dhidi ya Stan Chart HGK. Kuna kosa la kisheria kwa mtambo wa IPTL kuwekwa dhamana katika mkopo ambao Stan Chart HGK iliutoa kwa Mechma bila kushirikisha Rugemalira. Kisha kuna madai ya Sethi Singh kuwa ana miliki hisa na ana nakala halisi za hisa za IPTL. Kwa njia hii Serikali itakuwa imeamua kuwatumia hawa wawili on condition ya kuwaachia ila wao watumike kama mbwa wa msasi kukamata mnyama. Unatakiwa kujua masuala haya bila ushabiki wa akina nyumbu!IPTL kuwashinda Tanesco ni nguvu kwa Kina Rugemalila na Singh Seth,
Hawa machangudoa wa chakubanga wanafanya JF ionekane ya hovyo sana.Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mno, unakashifu taasisi za watu bila sababu. IPTL wizi wake umefanikiwa chadema ikiwa madarakani au!. Jifunze mijadala sio maneno ya kwenye kanga hapa jamvini, mna sehemu yenu!
Ya makontena mbona imekwisha, bashite ameambiwa alipe,ina maana hela ya kulipia IPO, hivyo huo mnada ni mazingaombwe mwisho wa siku bashite atatoa mzigo wake kiulaiini, na atabaki na nafasi yake ya ukuu wa mkoa wa Dar.
Nchi inayumbishwa na watu wawili?!!JK alionya. Hawa watu mkiwagusa nchi itayumba...