Singh Seth na Rugemarila kuachiwa?

Singh Seth na Rugemarila kuachiwa?

Habari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,

Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka ndani, mpaka mzee Rugemalila ukimuangalia huwezi kumjua, Sing ndo kitambi chake kimeisha kabisa,

Naambiwa kutokana na IPTL kuwashinda Tanesco ni nguvu kwa Kina Rugemalila na Singh Seth,

Ukirejea matamshi ya Jakaya kikwete ambaye amekuwa waziri wa nishati na madini kipindi mkataba uo unasainiwa alafu akawa Rais, na kusema kwamba Hela za Escrow si zetu ni za kina Rugemalila na Seth kuna mengi alikuwa kayaona,

Mdokezo
Itakuwa ni makubaliano na serikali kuwataka wafungue kesi ya kugombea IPTL dhidi ya Stan Chart HGK. Kuna kosa la kisheria kwa mtambo wa IPTL kuwekwa dhamana katika mkopo ambao Stan Chart HGK iliutoa kwa Mechma bila kushirikisha Rugemalira. Kisha kuna madai ya Sethi Singh kuwa ana miliki hisa na ana nakala halisi za hisa za IPTL. Kwa njia hii Serikali itakuwa imeamua kuwatumia hawa wawili on condition ya kuwachia ila wao watumike.

Ngoja nione kama itakuwa kweli watatoka, maana aliyeniuma sikio si wa mchezo
Hawa jamaa si ndio walitumika kupigia upatu mahakama ya ufisadi??
 
Haya baba aliyekuuma sikio so mchezo!!
 
Mkuu unashangaa Hawa wazee wa eskr kuachiwa!! Kwa Sasa hapa kwetu nimwendo wa kuomba radhi tu, Kisha maisha yanaendelea

Vp hukumbuki kuwa huu tamaduni was kupiga magoti ulianzishwa na Jr pamoja na na rafiki yake akafatia mzee was goli la mapema, nasasa nizamu ya ndugu zetu nao wakitubu tuta wasamehe maendeleo hayana vyama
 
It all make sense wala sitoshangaa you know what they ‘desperate times, requires desperate measures’

Dreamliner linaelekea UK sio muda mrefu lazima wajikinge kabla alijanyakuliwa huko.

Mahakama ilipotoa hela za escrow makubaliano yalikuwa kwamba akitokea mdai mwingine wa IPTL itabidi bwana Rugemalila na Seth wamalizane nao.

Sasa naona baada ya kushikwa kwa ndege yao South Africa na Canada akili zao serikarini zinaanza kukaa sawa kuna route zingine ambazo zina jurisdiction ya kushika mali zao S.A ilikuwa bahati tu.

Hapo ndio walipogundua siasa uchwara hazina faida.

Hela za escrow zilikuwa za IPTL si za serikari nani mwenye IPTL ndio shida, jaji aliesema kina Rugemalila walipwe hila akija mdai mwingine wa deal nae yeye hakuwa mpuuzi.

Hivi nchi itaendeshwa hivi kwa maamuzi ya kutotafakari mpaka lini wakati tuna miaka karibu 60 ya independence.
 
Uchaguzi huo Tutatafutana wakutusaidia tukishashinda tunawakamata tena sisi ndio Dora ya Chato kusamehe ni zambi
 
Je IPTL ilipouzwa kwa Singa Singa kwa kuchota ela za Tegeta Escrow A/C Rugemalira aliushishwa na deal hiyo ? Si alikwenda Mahakamani kudai hisa zake baada ya kusikia ela ziliisha chotwa na kampuni ya IPTL Iliishauzwa? kwa Singa Singa
 
Wanaweza wasikubali maana wanatakiwa kukiri na wakikiri haki yao kudai fidia inafutika
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mno, unakashifu taasisi za watu bila sababu. IPTL wizi wake umefanikiwa chadema ikiwa madarakani au!. Jifunze mijadala sio maneno ya kwenye kanga hapa jamvini, mna sehemu yenu!
Usimlaumu Mkuu, mtu hutoa kile Alichonacho kichwani mwake
 
Back
Top Bottom