Singh Seth na Rugemarila kuachiwa?

Singh Seth na Rugemarila kuachiwa?

Habari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,

Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka ndani, mpaka mzee Rugemalila ukimuangalia huwezi kumjua, Sing ndo kitambi chake kimeisha kabisa,

Naambiwa kutokana na IPTL kuwashinda Tanesco ni nguvu kwa Kina Rugemalila na Singh Seth,

Ukirejea matamshi ya Jakaya kikwete ambaye amekuwa waziri wa nishati na madini kipindi mkataba uo unasainiwa alafu akawa Rais, na kusema kwamba Hela za Escrow si zetu ni za kina Rugemalila na Seth kuna mengi alikuwa kayaona,

Mdokezo
Itakuwa ni makubaliano na serikali kuwataka wafungue kesi ya kugombea IPTL dhidi ya Stan Chart HGK. Kuna kosa la kisheria kwa mtambo wa IPTL kuwekwa dhamana katika mkopo ambao Stan Chart HGK iliutoa kwa Mechma bila kushirikisha Rugemalira. Kisha kuna madai ya Sethi Singh kuwa ana miliki hisa na ana nakala halisi za hisa za IPTL. Kwa njia hii Serikali itakuwa imeamua kuwatumia hawa wawili on condition ya kuwachia ila wao watumike.

Ngoja nione kama itakuwa kweli watatoka, maana aliyeniuma sikio si wa mchezo
Sasa kama Jpm kathubutu kuwaweka ndani na kashindwa kuwafunga kwa mujibu wa sheria.
That means serikali ndo imeshindwa sio akina Ruge.
Nilimwambia mrangi kuwa hawa watu kuwaweka ndani hata miaka 10 kama hawatahukumiwa basi vita ya ufisadi ni sawa na mchezo wa kombolela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Cha Moto wamekiona hata wakitoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndo mawazo ya kibwege.
Cha moto wamekiona na bado wanatoka kutafuna mamilioni yao.
Sisi na wao nani ataendelea kula raha.
Sie tumekaa nje muda wote na wao tumeingiza bilioni ngapi?
Na hapo ndo JPM anaweza kuwahadaa.
Hao tuliokuwa tunawaita mafisadi tangu aingie hadi sasa wamehukumiwa wangap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,

Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka ndani, mpaka mzee Rugemalila ukimuangalia huwezi kumjua, Sing ndo kitambi chake kimeisha kabisa,

Naambiwa kutokana na IPTL kuwashinda Tanesco ni nguvu kwa Kina Rugemalila na Singh Seth,

Ukirejea matamshi ya Jakaya kikwete ambaye amekuwa waziri wa nishati na madini kipindi mkataba uo unasainiwa alafu akawa Rais, na kusema kwamba Hela za Escrow si zetu ni za kina Rugemalila na Seth kuna mengi alikuwa kayaona,

Mdokezo
Itakuwa ni makubaliano na serikali kuwataka wafungue kesi ya kugombea IPTL dhidi ya Stan Chart HGK. Kuna kosa la kisheria kwa mtambo wa IPTL kuwekwa dhamana katika mkopo ambao Stan Chart HGK iliutoa kwa Mechma bila kushirikisha Rugemalira. Kisha kuna madai ya Sethi Singh kuwa ana miliki hisa na ana nakala halisi za hisa za IPTL. Kwa njia hii Serikali itakuwa imeamua kuwatumia hawa wawili on condition ya kuwachia ila wao watumike.

Ngoja nione kama itakuwa kweli watatoka, maana aliyeniuma sikio si wa mchezo
TANESCO WAMESHINDWA KESI NA FEDHA HIZO SASA NI OFFICIALLY LAZIMA ZIRUDISHWE KAMA SEHEMU YA MALIPO. Kwakifupi sasa ni wazi hela kwenye escrow account in Mali ha umma (walipaji )
 
Habari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,

Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka ndani, mpaka mzee Rugemalila ukimuangalia huwezi kumjua, Sing ndo kitambi chake kimeisha kabisa,

Naambiwa kutokana na IPTL kuwashinda Tanesco ni nguvu kwa Kina Rugemalila na Singh Seth,

Ukirejea matamshi ya Jakaya kikwete ambaye amekuwa waziri wa nishati na madini kipindi mkataba uo unasainiwa alafu akawa Rais, na kusema kwamba Hela za Escrow si zetu ni za kina Rugemalila na Seth kuna mengi alikuwa kayaona,

Mdokezo
Itakuwa ni makubaliano na serikali kuwataka wafungue kesi ya kugombea IPTL dhidi ya Stan Chart HGK. Kuna kosa la kisheria kwa mtambo wa IPTL kuwekwa dhamana katika mkopo ambao Stan Chart HGK iliutoa kwa Mechma bila kushirikisha Rugemalira. Kisha kuna madai ya Sethi Singh kuwa ana miliki hisa na ana nakala halisi za hisa za IPTL. Kwa njia hii Serikali itakuwa imeamua kuwatumia hawa wawili on condition ya kuwachia ila wao watumike.

Ngoja nione kama itakuwa kweli watatoka, maana aliyeniuma sikio si wa mchezo
Mbwembwe za Magu kwisney. Kama mwanae mpendwa ndo muhujumu uchumi no.1. Atapata wapi ujasiri wa kuwanyooshea vidole wengine? Kama makonda ataachwa sioni kwa nini ruge na seti wasiachiwe
 
Umasikini wa Tanzania unaletwa na katiba mbovu...kinga ya raisi iondolewe
 
Yaani uniweke ndani afu nije kukusaidia kesi yako?
Ukinitoa tu naondoka na deni unalipa wewe
 
Lakini Cha Moto wamekiona hata wakitoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu japo cha moto wamekiona lakini serikali na Tanesco ndio wameumia zaidi na wataendelea kuumia zaidi.Tuwalipe bilioni 700 harafu wakitoka maabusi wanatufungulia shtaka la madai kuwekwa ndani miezi kibao bila kosa.Je wakidai pesa mara 70 ya zile bilioni 700 si nchi itauzwa kama watumwa?
Magu anatakiwa kuwakamata wale viongozi wakubwa wastaafu walioruhusu ulofa huu.
 
Back
Top Bottom