SWEEPER
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 269
- 87
Hakika umeandika historia katika hili Taifa ambalo huko nyuma mabepari na hasa "Economic Hit Men" waliliogopa kama koma. Bravo kwa kucheza game na mihimili ya Taifa la Tanzania kama unavyopenda kwa kuwa 'mazingira' yanaruhusu. Juzi ulijaribu kutikisa bunge ukashindwa leo umeaua kutikisa Serikali yawezekana kwa kuwa umeitia mfukoni siku nyingi kwani wenye mamlaka wanashindwa kutekeleza maazimio ya bunge. Bravo for standing against the interest of 45 million Tanzanians. Nakuapia ningekuwa na uwezo ningekufanya zaidi ya 'Mgiriki' wa Nyerere. Nimekumbuka sana hadithi za Hayati Mwl. Nyerere. Let see how you bring down CCM.
:msela: :boxing:
:msela: :boxing: