CCM has killed this country. As we continue to suffer from the freeze of donor aid- our government is num over the allegations. This is a clear sign of a failed state!! Well done CCM!
Nukuu ya mameno ya Mwalimu kuhusu serikali corrupt.....
Serikali corrupt popote pale, haitozi kodi. Serikali corrupt inatumwa na wenye mali.
Inawafanyia kazi wenye mali. Serikali corrupt itamwambiaje mwenye mali, kwamba utalipa, usipolipa utakiona!" Atacheka tu huyu.
Atakwambiaunaniambia hivyo wewe? kesho siji basi!
Serikali corrupt haikusanyi kodi. Itabaki kufukuzana fukuzana na vijitu vidogo vidogo mabarabarani hivi basi.
Yametimia - maana hawa mafisadi wana uwezo wa hata kutuchagulia viongozi wetu ndani ya serikali.
Kinachosikitisha ni pale ambapo UHALIFU WA KISERIKALI UNAENDELEA, FEDHA ZA NCHI ZINAKWAPULIWA NA VIONGOZI WENYE DHAMANA YA KULINDA MALI HIZO HUKU: HALI YA WANANCHI IKO HOI TAABANI, HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIMEKUFA HAKUNA MSAADA KWA WANACHI, UNGOZI WA NCHI UNANUNULIWA KWA RUSHA, HAKI HAIPATIKANI TENA MAHAKANI, MIHIMILI YA DOLA HAIELEWANI 'AND YET' JESHI LETU LA ULINZI NA USALAMA LIMEKAA KIMYA LICHA YA KUAMINIWA PEKEE NA WANACHI WA NCHI HII.
ENDAPO IMANI HII ITATOWEKA BASI HAKUTAKUWA TENA NA MAUMAINI ITAKUWA KILA MTU NA LWAKE NA MACHAFUKO MAKUBWA YATATOKEA NA HAKUTAKUWA NA MTU WA KUYATULIZA. MUNGU EPUSHA HAYA!
OMBI: JESHI CHUKUA HATUA WANCHI WANAIMANI NA JESHI NA WATAUNGA MKONO 100%. HALI NI MBAYA SANA!! NCHI INAFILISIKA.
NGILENENGO1
imewekwa pamoja na sigara kwenye mfuko wa shatimfuko wa shati au suruali?
mfuko wa shati au suruali?
Tena kaiweka kwenye mfuko wa shati ili iwe rahisi Kila anapohitaji kuitumia asipate tabu kupekua kwenye mfuko wa suruali....... Hii Nchi imekuwa laini sana kwa wezi,Naungana na wanaorudia msemo wa Mwalimu kuwa Serikali corrupt inaburuzwa na watu wachafu........ JK tazama Nyumba yako.
Wa shati, unapuliza tu unawapanga unavyotaka. Chezea Harbinder
Siyo kwenye brief case yake?Maana akiamua anawatoa na kuwafungia.Tena mbaya zaidi ameweka waki zao humo na siyo wao wenyewe.
Kishamwaga mapesa mpaka kwenye familia ya Kikwete, DHAIFU hawezi kufurukuta. Tunaongoza Afrika kwa rushwa.
Briefcase mbali kaka, mfuko wake wa shati tu unatosha kujaza serikali nzima + wakezo + koo zao+ nyumba kuubwa na ndogoo makila kitu.
Hii ni serikali inayoendeshwa kwa rushwa na hakika lazima ianguke
Serikali corrupt itamwambiaje mwenye mali, kwamba utalipa, usipolipa utakiona!" Atacheka tu huyu. Atakwambiaunaniambia hivyo wewe? kesho siji basi!.
Mwalimu Nyerere katika hotuba zake humueleza jamaa mmoja aliyejidai kuiweka serikali yake mfukoni jinsi alivyoshughulikiwa. Sasa jambo hili naona limejirudia kwa awamu hii kwa mtu anayeitwa billionea wa IPTL almaarufu Singa singa. Tumeona kwenye vyombo vya habari jinsi alivyaonza kuivimbia serikali na TRA yake juu ya ulipwaji wa kodi inayodaiwa alikwepa na kusema hawezi kuilipa.
Ameenda mbali na kudai kuwa yale maamuzi ya bunge ya kutaka kuitafisha mitambo ya IPTL ni jambo lisilowezekana. Huyu mtu kwa kwa kuwa ameisha toa rushwa kwa mfumo mzima wa nchi basi naona huyu jamaa kaiweka serikali mfukoni.
Nimuonea huruma sana Mwigulu Nchemba na kauli yake kama naibu waziri juu ya ulipwaji wa kodi huyu jamaa kwa kifupi hawamuwezi sababu serikali imeshakuwa serikali corrupt
Ndiyo tumekwisha,tumepaki AKILI kwenye CHUPA ya Singasinga tumebakiza MAKALIO
Watawala wasiojotambua ndiyo wamelifikisha taifa hapa.
Tiwa mfukoni