Singa Singa ameiweka serikali ya Kikwete mfukoni

Singa Singa ameiweka serikali ya Kikwete mfukoni

= kujidhalilisha

Yeye ana haki ya kuandika anachokiamini, mimi sina haki ya kukiandika nnachokiamini? Fikiri.

JF is where we dare to talk openly.

Sijasema huna haki ya kukiandika unachokiamini ila upo kuleta vurugu kwenye mijadala makini sasa wewe hulijui hilo dubwana Singasinga ninalotozurumu maliasiri zetu.yani ukisikia Serikali au Ccm inakosolewa basi kile kidude KINAKUWASHA au ndo zile ta.ra.ka vimelegeza boti kichwani na sioni km kuna Mwanaume anaweza hata kukuoa wewe hivyo vyuo 6 vyakutosha mana huna haya ati.
 
DHAIFU Kikwete amewekwa mifukoni na hawa wahuni wezi akina Ruge na mwenzie Harbinder sasa anashindwa kufurukuta. Deal la Kikwete kuchukua mgao toka kwa Ruge mama fisadi analijua kagoma kukubali shinikizo la kujiuzulu hadi kieleweke. Mama anadai kama mgao nawe umechukua tujiuzulu wote basi vinginevyo kujiuzulu wakati wewe unabaki haihusu kitu sijiuzulu ng'oo na ukinifukuza Ruge ataanika kila kitu hadharani.

kwahiyo no. 1 naye yumo kwenye mgao! mbona hujafunguka kisawasawa.
 
Nifunguke vipi tena zaidi ya hivi Mkuu!! Kiongozi wa nchi ambaye ni msafi atakubali kuendelea kuiweka nchi yake rehani huku ikikosa msaada wa $1 billion huku kukiwa na hali mbaya sana kifedha ndani ya Serikali/nchi husika!?

kwahiyo no. 1 naye yumo kwenye mgao! mbona hujafunguka kisawasawa.
 
Ndio maana jamaa alikuwa akijigeuza geuza alipoongea na wazee wa Dar Es Salaam
 
Harbinder Singh Seth ni tapeli intl. Kawahonga viongozi wote wa kitaifa, akiwamo J. Kikwete. Nani atamgusa? Watanzania tumelala, acha tuliwe...!
 
With engine mnaishi Kwa his ani ya serikali halafu mnaitusi with mliokosa busara.
 
Mbona unapenda kujizalilisha wewe Mwanamke huoni aibu kushinda mitandaoni kuchangia pumba.ni haki ya kila member kuchangia hisia na kile anakiamini tatizo lako wewe unaharibu mijadala ya watu unajitoa tu ufahamu unatia aibu

We muuza mandazi unachekesha kweli ujue akili yako Kama ya kuku tu huna ujualo slaw akili yakehaiwezi kuchambua hotuba ya rais ataishia kuzungumza mane no ya kwenye gongo tu kwanza Hana akili ya hi yo.
 
NYERERE ANGEMPA MSAA 24 Awe ameondoka hapa nchini!,but KIKWETE ATAMUUONGEZEA NA VITARU VINGINE.

HAPO NDO TUJUE UTOFAUTI KATI YA X na x,au jumlisha na msalaba!
 
We muuza mandazi unachekesha kweli ujue akili yako Kama ya kuku tu huna ujualo slaw akili yakehaiwezi kuchambua hotuba ya rais ataishia kuzungumza mane no ya kwenye gongo tu kwanza Hana akili ya hi yo.

Kumbe Faiza Foxy una ID nyingine nawasikitikia sana nyinyi Vijana mnaotumiwa km toilet pepa na hawa wanasiasa uchwara mijizi mifisadi hii ya mari zetu twiga kakunjwa ktk ndege tembo ndo hivyo dili la katibu mkuu haingiliwi.halafu japo sina hakika km wewe ni msomi eti huoni unazidiwa akiri hata na Watanzania wa chini walioiadibu Ccm kwa kuikataa.ndg yangu wewe UNACHANGANYIKIWA NA BUKU 7 si uchizi huo kutwa kujitoa ufahamu kwa buku 7 maana hulari au mnalipwa na overtime?.hebu nipe mchanganuo unaitumiaje hiyo buku 7 kuishi maana siwaelewi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
We muuza mandazi unachekesha kweli ujue akili yako Kama ya kuku tu huna ujualo slaw akili yakehaiwezi kuchambua hotuba ya rais ataishia kuzungumza mane no ya kwenye gongo tu kwanza Hana akili ya hi yo.

Kumbe Faiza Foxy una ID nyingine nawasikitikia sana nyinyi Vijana mnaotumiwa km toilet pepa na hawa wanasiasa uchwara mijizi mifisadi hii ya mari zetu twiga kakunjwa ktk ndege tembo ndo hivyo dili la katibu mkuu haingiliwi.halafu japo sina hakika km wewe ni msomi eti huoni unazidiwa akiri hata na Watanzania wa chini walioiadhibu Ccm kwa kuikataa.ndg yangu wewe UNACHANGANYIKIWA NA BUKU 7 si uchizi huo kutwa kujitoa ufahamu kwa buku 7 maana hulari au mnalipwa na overtime?.hebu nipe mchanganuo unaitumiaje hiyo buku 7 kuishi maana siwaelewi yani mnatia hasira sana
 
tatizo ni shule uliyosoma,kata na open university ,understand beyond the visible meaning!



mkuu hio ni jazba tu? au ndio msimamo wako kuhusu watu waliosoma a shule za kata na open university?
 
Mzimu wa IPTL kwa mtazamo wa kawaida lazima uondoke na CCM mwaka huu 2015,Tuliona jinsi Rais alivyojikakamua jutetea WIZI hadharani na kusema UMMA hauna senti yoyote ktk mabilioni yaliyochotwa kinyemela.CCM na WIZI havitenganishwi.
 
Back
Top Bottom