sinema ya kihindi bila Amrish Puri jambazi papa kushikishwa adabu, huwa hata pesa unaweza usitoe maana uHondo ni sterring kushinda. Ngoja tusubiri unaweza kudhani ni sinema kumbe Series
Kipanya anamaanisha sinema ya madawa ya kulevya(picha kulia) imeisha sasa imeanza ya vituo vya vvu na uhamasishaji wa mapenzi ya jinsia moja( picha kushoto).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.