The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,581
- 7,250
Hivi wao hawafanyi kazi? Mpk wanashinda kanisani muda woteShika neno tenda neno mtumishi[emoji5], ukiwa wa imani tofauti hata salamu hupati na wanaoana wao kwa wao, ukimtaka mtumishi lazima ukasali kanisani kwake na uvae kanzu/gauni jeupe na ushinde kanisani siku nzima
Duuh[emoji3] [emoji3]Halafu wana shuhuda za kushangaza kweli eti kuna binti alifanikiwa kupata mchumba hapo kanisani kwa kula makombo ya kuhani na mwingine aliponywa meno
Duhhhhh eti umekutana na kichwa changu me namwambia Acha upumbavu kichwa chako unachoHatari sana,kuna jirani yetu mkewe kaingia kwenye hiyo dini.
Kwa sasa anamuita mumewe kichwa.
namnukuu...jamani mmekutana na kichwa changu leo.?...
saa sita alfajiri ikoje mkuu!!!Dini ya leo ni biashara inayolipa sana na kila mwenye uelewa kidogo wa theolojia hutaka kuanzisha kanisa lake
Kuna baadhi licha ya pesa Kuna mambo ya siri wanafanya au wana taratibu zao zenye kuacha maswali mengi
Hivi karibuni nilikutana na mwamimi aliyekimbia kanisa la Sialom mkoani pwani akanihadithia mengi ya kushangaza
-kwao majina si kama haya yetu bali majina yao ni kama haya..Siku yake!Ahadi!Agano! Kimbilio! Jaribu nk nk
-Chakula kwao wanaita karamu
-Maji yanaitwa damu yake
-wakipigiwa simu hawataji eneo husika bali wanasema wako mlima wa moto ili adui asijue uko wapi
-Wanaamini makombo ni tiba (makombo ya Chakula wanakula makuhani wao )
-viongozi wao wanajulikana kwa jina la makuhani
-ibada zao huanza saa sita alfajiri kwa kughani maneno ya kujirudiarudia tena kwa sauti ya juu (kupayuka)
-nguo zao ni suruari fupi nyeupe na kanzu
Maisha yao kwa sehemu kubwa wanategemea malipo kwa wale wanaokuja kuponywa kanisani
Hii ni imani lakini ni vema ukaamini kitu kisicho na ukakasi...muumini huyu amefanikiwa kukimbia na sasa yuko huru
Mwanzilishi wa Kanisa alifariki"alitwaliwa" kwa kutokwenda Hospitali.Ukiumwa hakuna kwenda hospitali, ni maombi tu.
Asee kazi kwelikweli
HHAHAHHAHHAHHAAHAHH ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Yesu nipe macho mimi uwiiiii sio kwa kusombwa hivi
Hahahaha iman ya mtu haikosolewi mkuu!!Me kama ndg yangu namwambia acha upumbavu huyo nuru ndo mdudu
mwanza kanisa lao kushoto VILLA PARK , MBELE SHOOTERS PUB, NYUMA THE KISS NIGHT CLUB ...NAJIULIZAGA WANASALI VIPI HAPA.... NA VURUGU ZOTE HIZIHata huku kwetu Mwanza wapo,yaani akiamua kusema kuja,anairudia mpaka ahakikishe sauti yake inazidi jogoo wote wanaowika
Huyo hana tofauti na waganga na wachawi mitaaniHaya makanisa sasa balaa ....kuna Mchungaji nilikutana naye mbeya....aisee nilimweleza yanayonisibu kusudi nipate huduma duh!unaweza ukakimbia ..
1.Aliniambia nitafute laini imeishia namba Kumi au Tisa iwe voda au Tigo.
2.Kitambaa Cheupe kikubwa.
3.Kwenye bahasha niweke Sh.Elfu Saba kwa siku tatu mfululizo ninavyoenda kumwona niende nayo nisipunguze wala kuongeza.
4.Nitafute Mshumaa mkubwa mmoja.
5.Kuna chupa moja kubwa ya mafuta ninue jina limenitoka ila alisema mafuta ya mizeituni kitu kama hicho.....nikaenda Dukani kuulizia inauzwa Elfu ishirini.....Alfu ndo nianze naye kuwasiliana.....Duh!nilichoka mwwnyewe kiukweli siku nilivyoenda kwenye ibada zake sasa.....Alikuwa anapaka Mafuta kwenye mkono alafu waumini mnapanga Foleni kwenda kugusa ule mkono.....ila kabla kuugusa unaweka chini kuanzia Sh.Elfu moja kwenda mbele kusudi upate baraka na ufanikiwe....yani tangia siku hiyo sikurudi tena maana ni bonge la biashara jamaa anafanya .....Alfu njee alikuwa anapaki bonge moja ya Gari....
Kumbe ulisikiaKanisa la Elia Adam wa pili ukiwasikiliza utashangaa alipokufa ati jua lilisimama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji22]Gari wanaita farasi kuna mama namfahamu ukiongea naye unaweza kuhis ni chizi
Kuna msiba wa jirani yetu wakaja wachungaji wao si majirani yupo kwenye majonzi maana alifariki wakati anajifungua badala ya hosiptal wakampeleka kanisani damu zinavuja wanakemea kuja kuzinduka kumpeleka mwananyamala mama kafa kwenye msiba kama sherehe wanaimba wanasema mwenzetu kalala huyu haleluya amefika mbinguniShika neno tenda neno ndio salamu yao
Muumini akifariki kwao ni sherehe hipika vyakula vya kila aina na hakuna kulia
Ndivyo walivyo mkuu!Kuna msiba wa jirani yetu wakaja wachungaji wao si majirani yupo kwenye majonzi maana alifariki wakati anajifungua badala ya hosiptal wakampeleka kanisani damu zinavuja wanakemea kuja kuzinduka kumpeleka mwananyamala mama kafa kwenye msiba kama sherehe wanaimba wanasema mwenzetu kalala huyu haleluya amefika mbinguni
Hamna lolote hili dhehebu ni tatizo Mimi nilishtuka na kuogopa waliponiambia kwamba shetani alishauwawa na huyo mwazilishi wao Elia. Bila maono ya Roho Mtakatifu wengi wataangamia.Kwa fikra zangu naona hiyo ni dini ya kiyahudi. wayahudi walimuona Yesu lakini hawaamini katika yeye, ndio maana hakuna alama ya msalaba kwenye masinagogi yao.
Ndiyo maana wanatumia majina ya kiyahudi kwa viongozi wao kama kuhani n.k.
Kuhusu kalenda, kama hutambui ujio wa Yesu hata kalenda yetu ya kawaida hutaifuata. kalenda zetu za kawaida zinazingati mwaka wa kuzaliwa Yesu kuwa ni mwaka wa kwanza, hadi leo ni miaka 2017 toka kuzaliwa Yesu.
Wanatumia biblia sawa, lakini huenda wanazingatia agano la kale tu maana hilo hata Yesu alilikuta.
Dini ni njia ya iimani kwa Mungu wetu, Wakristu wanaamini ktk YESU na kwamba njia sahihi ya kwenda mbinguni ni kupitia kwake. waislam wanamini katika Mtume Mohamed (SAW). Hawa nao wako poa!