Sina shida ya hela mimii

Sina shida ya hela mimii

sa ntaitoaje???? hata namba za siri sizijui pia nlikuwa sifahamu kama alijiunga na hiyo tgopesa ndio leo nimejua yan..ila ngoja nisubiri subiri huenda mwenye hiyo hela akanitafuta nkiona kimya ndio ntafanya as u told me.

kama hujawahi kuweka namba ya siri huwa ni 1234.....baadae ndio unabadili kuweka utakayo
 
Back
Top Bottom