utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
sa ntaitoaje???? hata namba za siri sizijui pia nlikuwa sifahamu kama alijiunga na hiyo tgopesa ndio leo nimejua yan..ila ngoja nisubiri subiri huenda mwenye hiyo hela akanitafuta nkiona kimya ndio ntafanya as u told me.
Hapo inabidi mwenye line atoe msaada wa password