Funga kazi kwa ajli ya vodafone k3565-z and k3570-z zte modems "the best solution" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Funga kazi kwa ajli ya vodafone k3565-z and k3570-z zte modems "the best solution"

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by e2themiza, Jul 6, 2011.

 1. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wakuu nikama muda sana ambapo watu kila siku wana uliza au bado hawafanikiwi kufaidika na kuweka line tofauti katia K3565-Z and

  K3570-Z zte modems hizi zinazouzwa za vodacom ili kuweza kuweka line ya mtandao mwigine na kutumia vyema kabisa bila any problem...

  wengine wanaweza shangaa kwanini nimefungua thread mpya kuzungumzia tena hili swala wakati limeshajadiliwa sana hapa na vile vile imetolewa

  suluhu... na ikagundulika kuwa hizi modems haizija unlokiwa bali dashboard yake(vodafone mobile connect) imefungiwa isi kubal kusoma

  line(mtandao) tofauti na VODACOM... vile vile watu waka post attach na vile vile kuweka links za dashboard ambazo ztaruhusu kusoma na

  kuconnect line yoyote nyigine tofauti yenye mtandao wa GSM.. kwa mfano JOIN AIR 1.0... n.k mie nitaelezea kutoka mwanzo jinsi ya

  jinsi ya kuweza kutumia kupitia JOIN AIR 1.0 dashboard kwa sababu pia watu mpaka leo bado wagumu kuelewa... BALI dhumuni ya hii THREAD

  sana sana haija base sana jinsi ya kuweza kutumia JOIN AIR 1.0 bali ni kwamba kuta tatizo moja au USUMBUFU fulan unatokea na watu ambao

  wanatumia DASHBOARD tofauti na vodafone mobile connect wata ungana na mimi... USUMBUFU unakuja pale ambapo UNALAZIMIKA

  ukichomeka modem yako ya vodafone automatically ina run iyo vodafone mobile connect na vile vile inachukua muda kidogo kuload kwa

  wale wenye pc zenye uwezo wa speed ndogo (RAM) vile vile ikishaload uiexit then sasa ufungue iyo dashboard nyigine ambayo itaruhusu

  line zingine... sasa hi ni kero kidogo sana sana kwa Windows XP kwasababu ina automatically run bila kutoa prompts kama Windows 7..... sasa

  nataka kueleza jinsi ya kudisable kautomatical autorun na kufunguka iyo dashboard ya vodafone mobile connect baada ya kujaribu njia nyinigi

  kuizuia mpaka mwisho nimefanikiwa nitaelezea maelezo full kabisa kutumia JOIN AIR 1.0 apo chini maelezo yakifuatia na picha:

  Mwanzo kabisa connect modem yako na automatically ita install vodafone mobile connect iache imalize kabisa na mpaka uone imefunguka

  na umeweka line ya voda ni imeshika mtandao vyema kabia then exit vodafone mobile connect chomoa modem and chomoa line ya voda

  na weka line tofauti ambazo unaweza kuweka line ya TIGO, AIRTEL na line ya ZANTEL ya GSM... then connect modem yako sasa iache ifunguke

  automatically vodafone mobile connect kwa sasa mpaka italeta msg hii

  one.JPG
  two.JPG three.JPG
  four.JPG
  Then sasa download JOIN AIR dashboard kupitia link hii apa ZTE Join Air-1.0.rar - 4shared.com - online file sharing and storage - download kisha install Then

  ifungue apo chini ni picha ya dashboar ya JOIN AIR na nimeweka line ya ZANTEL ya GSM ambapo mwanzo kwenye vodafone mobile connect

  sasa imefunguka na kusoma iyo line;


  five.JPG

  six.JPG
  seven.JPG
  eight.JPG
  nine.JPG

  ten.JPG eleven.JPG

  SASA TUNAKUJA PART MUHIMU PIA AU SULUHU YA KUPUNGUZA KERO YA KUSUBIRI KWANZA VODAFONE MOBILE CONNECT KUFUNGUKA

  THEN KUICLOSE THEN KUFUNGUA JOIN AIR;

  sasa cha kwanza ni kudownload hii software kupitia hii link right click na select open new tab na itaanza kudownload then isave kwenye

  DESKTOP yako na WAHAKIKISHIA sio VIRUS coz PIA WENGINE HUOGOPA sana KUDOWNLOAD BINARY FILES zenye .exe.... link ya

  kudownload hii apa http://the.earth.li/~sgtatham/putty/latest/x86/putty.exe

  Then sasa apa pia muhimu sana pia kwanza kwa windows xp fungua CONTROL PANEL then select SYSTEM alafu hardware then select DEVICE

  MANAGER... na kwa VISTA na SEVEN easily fungua STARTMENU then apo kwny search andika device manager na ifungue... then tafuta

  ambapo imeandikwa MODEMS na fuatsha picha apo chini;

  twelve.JPG
  fourteen.JPG
  fifteen.JPG
  sixteen.JPG
  seventeen.JPG

  Sasa iyo picha chini ina THIBITISHA kama imekubali kuto ku autorun kwasababu ukianglaia kwneye My Computer iyo icon haipo kabisa lakin

  Kwenye dashboard imesoma na kuconncet fresh kabisa

  Last.JPG

  Then sasa fungua dashboard ya JOIN AIR

  eighteen.JPG

  YAP MPAKA APO NIMEFIKIA MWISHO WA MAELEZO NA I HOPE KUWA MTAFANIKIWA NA KUONA HII

  THREAD INA MSAADA KWAKO NI HAYO 2 HOPE MTAFANIKIWA ALL THE BEST NA NIGEPENDA KUONA

  FEEDBACKS!
   

  Attached Files:

 2. Dazyd2f

  Dazyd2f Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu big up upo mbele
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu unatisha, big up
   
 4. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Though kuna alot of procedures kazi nzuri kaka hope tutafanikiwa.
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Duh! Yote hii kisa uchakachuaji? Na voda nao si wanasoma hapa?
   
 6. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hehehe kuna uchakachuaji wa kupm watu

  lakini sio hii kwan wakishaona watafanyaje kwan coz sasa mzigo walionao au modem wanazouzwa ndo models hzo na sio apa 2 hzo models

  zinauzwa sehemu bali mbali hawawezi zibiti kitu apa tena TANZANIA hiii hehehehehehe! we faidika 2 na modem yako ya vodafone ndo maana pia

  nikafikiria na kuficha imei yangu kuto kudisplay full apo labda ndo kidogo wangeweza kuniblock mimi lakini hamna njia nyigine so ndo maana

  nimewaga vyote furuu bila kuhofia kitu...
   
 7. africa6666

  africa6666 JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 281
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Du kaaaazi kweli kweli, nimechoka kabisa na bongo ila big up mkuu kazi nzuri. Ngoja nianze nisipofanikiwa nitakuja tena
   
 8. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  du hii kali
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Khaa mkuu hii ni chuma cha pua
   
 10. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mi nimejaribu lakin imedownload file ambayo siyo program bali ni docment
   
 11. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Itakuwa tayar imechakachulika? Ukienda weka ktk pc nyngne inabd urudie hzo procedure?
   
 12. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  OK labda ugeniambia software ipi kati ya izo mbili umedownload lakini ni DOCUMENT.... link nyigine

  ya JOIN AIR hii apa ZTE Join Air-1.0_NEW.zip - 4shared.com - online file sharing and storage - download... na vile vile iyo software ya pili ni

  http://the.earth.li/~sgtatham/putty/latest/x86/putty.exe .... au kisa ni RAR file lazima uwe na WINRAR ili uweze kuextract iyo faili ya JOIN AIR 1.0
   
 13. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hiyo apo juu ni

  SOFT method vile vile kuna HARD method ambapo unatoa iyo ISO IMAGE ya VODAFONE MOBILE CONNECT na kuweka ya JOIN AIR na vile vile hii

  kitu ilishaelezewa apa laknini mimi sirecommend utumie iyo HARD method mara inaweza ikakupelekea kwa kuharibu modem yako coz lazima uwe na

  umakini sana kufanya hio process na huwa inachukua muda sana.. vile vile sioni ulazimu wa kufuta iyo vodafone mobile connect kwanza ina WIFI

  connection ina kamata na unaweza ukaconnectia WIFI n.k.... na kuhusu kuwa imechakachuliwa kabisa sorry lakini hii ni TEMPORARY method sio

  PERMANENT but kama unajiamini na unataka kuiflash na kuiset iwe ina JOIN AIR PERMANENTLY tembelea link hii ndo nilipopata kuelewa zaidi na

  kupata kuweza kufanikiwa na iyo njia niliyoelezea link hii apa ZTE K3565-Z (Vodafone) - 3G modem wiki apo utaona

  kuna HARD WAY pia.
   
 14. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,035
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Thank u Mkuu
   
 15. m

  marty JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 783
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  The simplest way is just upgrade the dashboard by putting join air as the default dashboard or u can combine both of them and the user will select which dashboard to use..i can do that with zte modems.
   
 16. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  kwanza asante kwa taarifa nzuri zitakasaidia kumiliki modem zisizo na idadi, msaada: hivi kuna software ambayo utaweka kwa cdma modem na ikaweza soma line nyingine kama ttcl au sasatel? Maana nipo na zantel modem ec122 ina mahali pa kuweka laini lakini inakuwa shida kusoma line nyingine ambazo zipo ktk mfumo mmoja
   
 17. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  njia rahisi ninayotumia mie ni hii hapa mkuu. kama umeshainstall ile vodafone mobile connect basi itowe na kama kuna dashboard zote basi zi uninstall. pamoja na drivers. kama bado basi usi zinstall kabisa kabisa.
  cha kufanya ni kutumia alternative drivers, wala usitumie drivers za vodafone zinokuwepo kwenye modem by default.
  tumia drivers hizi hapa Download Win ZTEDrv zip
  na kisha unaweza kutumia dashboard uipendayo isiwe ile ya vodafone tu , mie natumia Telstra Turbo Connection Manager na pia nikitaka natumia internet key hii hapa Download ZTE K3765 WinXP Vista zip
  kazi ni kwako
  au hama tigo hamia airtel weye ndugu jamaa na marafiki zako
   
 18. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
 19. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Umetisha br....
   
 20. MHEMA J

  MHEMA J New Member

  #20
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka asante nimekupata!
   
Loading...