Bomandamo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 650
- 386
Bonuiiiiiiiiii......!!!!!!!
Mmhhhh kama ndio freemason wamehamia kwenye kina tigopesa, Mpesa nanyinyinezo basi kazi ipo..but in Jesus name kwangu wameshindwaaaaaaaa...!!anyway mimi nina line za simu mbili voda na airtel ambazo ni permanent na nimesajili kwa majina yangu na ndizo zinazojulikana kazini, ndugu, jamaa, marafiki as well . Pia 99.percent ya watajwa hapo juu wanatumia voda na airtel so in most cases huwasiliana kupitia hizo. Hiyo 1% ilobaki ndio wanatumia tigo and its very rarely yan.
Sasa march this year kuna sijui ndugu sijui rafiki alinicall kwa tigo na mjadala nahis ulikua mrefu hivo nikalazimika kutafuta line ya tigo mana mimi sio mtoto wa Bakhresa.! Nikaamua kuomba line kwa best tu ambayo haitumii ili niimonopolize nae akanipa na ilikua line mpyaa isiyokuwa na jina hata moja na katika kipindi chote hicho hakuwahi piga kiumbe yeyote kusema labda amuhitaji mwenye hiyo line...
Sasa jioni hii nlikuwa zangu room nmezubaa zubaa mara ikaingia sms ya Tigopesa ikionesha sh 82300/ imetumwa kwenye hio line na its a very small amount kwakweli si ya kushawish mtu anayefanya kazi. sasa mimi nikakaa nasubiria mtu apige cm kusema amekosea kutuma up to this moment kimyaaa, nampigia mwenye line nimuulize nae hapatikani...haya what if huyo aliekosea akipiga nimrudishie hiyo hela mimi namba ya siri hata siijui itakuaje??. Huu ukimya ndio napata wasiwasi nisije yeyushwa bureee.!!!! Mimi sijishughulishi nayo kabisaaaa naiacha kama ilivo.
Orevuaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
Yani sasa hivi kila kitu Freemason... kwani huwa mtu anaekosea no anakua anaijua hiyo no? Huyo ni mtu tu kakosea kama ww na wengine mnavyokoseaga