Sina shida ya hela mimii

Sina shida ya hela mimii

hapana lilikujamo tu...
nadithiemo hiyo historia yakheeeeee

Nlikamatwa na mlinzi wa shule natoroka nkamwambia jina langu nokia akakubali cku ya pili assembly mwalimu akatangaza...
 
Nlikamatwa na mlinzi wa shule natoroka nkamwambia jina langu nokia akakubali cku ya pili assembly mwalimu akatangaza...

duh we mkareeeeeeeeee............I think u were a very truant student by that time..
 
Dah! kumbe mimi mwenyewe sina katoto tunaweza kuyajenga pamoja?

jaman mafundi si ndio huwa wanajenga???? au wew ni fundi basi jenga maliza kabisa then unambie sh ngapi ..sawa?????!!!!
 
jaman mafundi si ndio huwa wanajenga???? au wew ni fundi basi jenga maliza kabisa then unambie sh ngapi ..sawa?????!!!!
Aaaah! jamani kumbe una sauti nzuri hivyo mpaka moyo umeshituka, maana yangu tunaweza kuyaweka sawa ili tupate katoto?
 
Back
Top Bottom