Sina shida ya hela mimii

Sina shida ya hela mimii

nyie kuweni makini msikute mambo mengine hayo unakula hela usiyoitaabikia jamani?
Mbona umechelewa sana mama? Mimi wiki mbili zimepita sasa walinitumia 42,000 na ninaefanyanae kazi katumiwa 100,000. Yeye kaniuliza nikamjibu labda mtu kakosea, kuangalia na mimi nakuta 42,000. Ukiangalia alietumia ni tigowakala.... Kula tu ni haki yako....
 
uisiogope kwani tigopesa siku hizi wanadai kuwa ukiweka pesa kwenye tigopesa na ukiwa mara kwa mara unaweka na kuondoa wao wanakupa bonus ya kiasi fulani kwenye akiba yako kwenye tigopesa ila ni vizuri kwenda makao mkuu ya tigo kuwauliza kwamba wanazo hizo bonus?
yaani ndio naogopaje hapaa....
 
uisiogope kwani tigopesa siku hizi wanadai kuwa ukiweka pesa kwenye tigopesa na ukiwa mara kwa mara unaweka na kuondoa wao wanakupa bonus ya kiasi fulani kwenye akiba yako kwenye tigopesa ila ni vizuri kwenda makao mkuu ya tigo kuwauliza kwamba wanazo hizo bonus?

hiyo line sio yangu na sijasajili kwa jina langu...nliomba tu nkaimilikisha moja kwa moja na sijawahi weka hela humo
 
Back
Top Bottom