Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,145
- 41,775
Jamaa angu mmoja anasema baada ya kupiga KITANDA KIKAWA KINAZUNGUKA KAMA BEMBEAA☺️Shindikanaa tukivuta kwanza chumba kiwe guza then tukae mkao wa meditation 🧘♂️🧘♀️ usipokimbia nakupa 100tzsh
Saa 11 jioni almost 3hrs 😊☺️Jioni ni masaa mangapi kutoka sasa?
Movie wengine tunasinziaa😆Kwanini umevutiwa na uvutaji wa bangi?
Kuwa hata mtu wa mazoezi ama mtu wa movies
Kaka uzi wa walevi Tena, na una jua sinywi pombe, sivuti sigara.Hii comment aisome Raisi wetu wa ma jobless pro max Intelligent businessman
Nakala kwa makutupora , Bolotoba
Now ni saa ngapSaa 11 jioni almost 3hrs 😊☺️
DR SANTOS tia neno naona likes TU 😁 mchango wako ni muhimu sanaa mkuu.Kaka wanawake wa kiafrika bado ni wife material kinyama , nyuzi za Natafuta Ajira nafikiri zinahusu ughaibuni zaidi ya africa
Bangi sawa, haina tatizo kama tumbaku na pombe.Sio mtu wa wanawake
Sio mtu wa betting
Sio mlevi
Sio mvuta bangi
Sio mtoka out
Sio mtu dini saana
Sio mtu wa kupenda starehe
Sio mtu wa makundi na vishawishi
Sio mtu wa kununua Malaya
Sio mtu wa kuvuta mirungi Wala sigara
Yani nimenyooka tatizo ni kwamba Kuna muda napitia changamoto sijui nitumie njia gani kutafuta suluhisho Naona inaweza kuleta madhara kwa upande wa afya ya akili.
Naanza kuvutiwa na uvutaji wa bangi
Mkuu kwaniniKaka uzi wa walevi Tena, na una jua sinywi pombe, sivuti sigara.
Huu Uzi sio wa walevi bwana MIMI MWENYEWE SIO MLEVI PIA SIVUTI SIGARA NA HUWA NASTAAJABU KUONA MTU ALIANZAJE KUVUTA SIGARA.Kaka uzi wa walevi Tena, na una jua sinywi pombe, sivuti sigara.
Piga Nyeto hutojua kamwe!Sio mtu wa wanawake
Sio mtu wa betting
Sio mlevi
Sio mvuta bangi
Sio mtoka out
Sio mtu dini saana
Sio mtu wa kupenda starehe
Sio mtu wa makundi na vishawishi
Sio mtu wa kununua Malaya
Sio mtu wa kuvuta mirungi Wala sigara
Yani nimenyooka tatizo ni kwamba Kuna muda napitia changamoto sijui nitumie njia gani kutafuta suluhisho Naona inaweza kuleta madhara kwa upande wa afya ya akili.
Naanza kuvutiwa na uvutaji wa bangi
Maamuzi yangu tu mkuuMkuu kwanini
Kama unavyo staajabu uki ona mtu kavuta sigara, nami nastaajabu mtu akinywa hata funda Moja.Huu Uzi sio wa walevi bwana MIMI MWENYEWE SIO MLEVI PIA SIVUTI SIGARA NA HUWA NASTAAJABU KUONA MTU ALIANZAJE KUVUTA SIGARA.
MIMI HUWA NAKUNYWA JION BAADA YA KAZI MARAMOJA MOJA TENA SPIRIT ONLY SINYWI BIA
Sure bro japo marafiki zako kama sisi ni wazee wakulanduka sio vibaya lakini Castle_Lite itabidi kijana wetu na raisi wangu apate vyoda kama vyote ile siku🤔Maamuzi yangu tu mkuu
Boring movies lazima usinzie 😀Movie wengine tunasinziaa😆
Ngoja aje atupe majawabu.Huyo kijana namuuliza kwani ni lazima kulewa??
Kweli ndio maana wengine husinziaga kwenye mahubili IbadanBoring movies lazima usinzie 😀