min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,262
- 127,176
Watu wasio kunywa pombe ni wambea sanaUbaki hivyohivyo ili ukatuandalie makao ya milele mkuu.
Watu wasio kunywa pombe ni wambea sanaUbaki hivyohivyo ili ukatuandalie makao ya milele mkuu.
🤣🤣🤣🤣 sasa shindii ni ulevi gani huna?Sana atakua kama mimi shindii
Bangi na vuta mara moja tu kwa mwezi, bia nakunywa mda wote shindii 🤣 sigara situmii na sijawahi na sitakaa nitumie🤣🤣🤣🤣 sasa shindii ni ulevi gani huna?
Kweli wewr ni shindii.Bangi na vuta mara moja tu kwa mwezi, bia nakunywa mda wote shindii 🤣 sigara situmii na sijawahi na sitakaa nitumie
Huyu kijana wetu anatatizo kubwa kwa kweli? Mama yangu akimwona kijana wa kiume hatumii pombe wala bangi anamwonaga kama ni mwizi mwizi🤔Kweli wewr ni shindii.
Hujasema Kuwa wewe siyo Mshirikina (huamini uchawi) kwa hiyo nimeanza kuhisi utakuwa hapo kwa sangomaSio mtu wa wanawake
Sio mtu wa betting
Sio mlevi
Sio mvuta bangi
Sio mtoka out
Sio mtu dini saana
Sio mtu wa kupenda starehe
Sio mtu wa makundi na vishawishi
Sio mtu wa kununua Malaya
Sio mtu wa kuvuta mirungi Wala sigara
Yani nimenyooka tatizo ni kwamba Kuna muda napitia changamoto sijui nitumie njia gani kutafuta suluhisho Naona inaweza kuleta madhara kwa upande wa afya ya akili.
Naanza kuvutiwa na uvutaji wa bangi
Na watumiaji wa hivyo vilevi nao wanaonekana kama wezi wezi🤣Huyu kijana wetu anatatizo kubwa kwa kweli? Mama yangu akimwona kijana wa kiume hatumii pombe wala bangi anamwonaga kama ni mwizi mwizi🤔
Shindiii naachaje kukumbuka , nakumbuka sana shindiii, leo nimebanwa na mafua naona niyazibue na vodka hapaNa watumiaji wa hivyo vilevi nao wanaonekana kama wezi wezi🤣
Ila shindii ujue mwaka ndio umeshafika nusu!! Unakumbuka?
Naunga mkono hoja. Unachovutiwa nacho ni kitu sahihi.Sio mtu wa wanawake
Sio mtu wa betting
Sio mlevi
Sio mvuta bangi
Sio mtoka out
Sio mtu dini saana
Sio mtu wa kupenda starehe
Sio mtu wa makundi na vishawishi
Sio mtu wa kununua Malaya
Sio mtu wa kuvuta mirungi Wala sigara
Yani nimenyooka tatizo ni kwamba Kuna muda napitia changamoto sijui nitumie njia gani kutafuta suluhisho Naona inaweza kuleta madhara kwa upande wa afya ya akili.
Naanza kuvutiwa na uvutaji wa bangi
Hadi wewe!...😂😂Vuta bangi, utanishukuru.
Kwani unakosaga sababu ya kulewa shindii🙆♂️🙆♂️🙆♂️Shindiii naachaje kukumbuka , nakumbuka sana shindiii, leo nimebanwa na mafua naona niyazibue na vodka hapa
Bangi na iheshimiwe🤣Hadi wewe!...😂😂