Sina Hela

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,160
Eti Sina Hela amekufa, mbona mimi namjua na ni ndugu yangu wa damu niko nae hapa?
Eti Sina Hela kapotea, jamani hajapotea nasema ninaishi nae karibu sana
Je wewe unamjua?
 
Ndio nani huyo tena? Mi sijui watu wa jina kama hizo!
Mi namjua Ninazo bin Nikukope?

itabidi unitambulishe kwake aisee, mimi sina hela ni zaidi ya rafiki kwangu, ila ni msumbufu sana
 
Hua namuona kwa mbali tu huyo. Rafiki mbaya sana, simtaki
Atakushawishi na usipo kua na personality ya nguvu
Utajikuta amekupeleka kusiko... Ngoja nikupe number ya sim
ya huyu Ninazo bin Nikukope. Atakusaidia sana kuongeza confidence. lol
 
hahaha ndo hapo nakokupendea mwali hapo tu huwa unanipa amani pale inapokosekana hebu nitumie namba ya huyo rafiki mwema
 
Hua namuona kwa mbali tu huyo. Rafiki mbaya sana, simtaki
Atakushawishi na usipo kua na personality ya nguvu
Utajikuta amekupeleka kusiko... Ngoja nikupe number ya sim
ya huyu Ninazo bin Nikukope. Atakusaidia sana kuongeza confidence. lol

mboni mwenzio kamzoea na daily wapo wote..
kuhusu ninazo bin nikukope hujui huyu hapendani kabisa na sina hela..
 
On the contrary. Kama wewe ni rafiki wa ninazo,
kila siku atakulazimisha ukamtembelee Sina.
Hawaachani wale, ukiona mmoja mwenzie yupo karibu.
Au vipi Kabbie?
 
ni kweli unenayo,ndo maana mimi nahamu na huyo rafiki mpya jamani,nifanyie mpango basi.
 
khaaa!kwenye makiss mtalaka hatongozi tukija kwa huyu rafiki yangu kipenzi SH ndo tunakimbiana? lol

marafiki wa hivyo siwataki, na madam ni rafiki yako sitaki kuuvunja urafiki wenu,, labda uamue kumkana kwa kiapo.
 
Back
Top Bottom