Sina Hela

Usijali sweety nafanya kazi BOT funguo za store za hela mpya zinakaa ofisini kwangu,huyo sina hela utamsahau.

UNAMAANISHA UNATAKA KU-DAUDI BALLALI? MAANA PALE BoT HAWASHUULIKII ACC YA MTU BINAFC!
 
Sina hela kaanzisha kampuni, kajenga nyumba kanunua na magari. Sina hela ni tajiri mkubwa. Wifi mzima wewe?
 
Sina hela kaanzisha kampuni, kajenga nyumba kanunua na magari. Sina hela ni tajiri mkubwa. Wifi mzima wewe?

mimi mzima wifi yangu, mhh hayo unayosema yakweli?mbona Sina hela kapanga ndani mwangu?
 
Back
Top Bottom