Mwanamke wangu anajipa umuhimu kwenye hela zangu na hataki kuelewa somo

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Wana jf na ndugu zangu wa MMU .

Kwa kweli mpenzi wangu sijui anashida gani yani kajipa umuhimu kwenye mali zangu, kazi yangu na hata kufikia pabaya kabisa kajiwekea umuhimu kwenye hela zangu kabisa bila hata haya ya uso.

Ndugu inafika mahali nikimjibu sina hela analalamika na kudai ninazo ila sitaki azitumie huku akijilaumisha eti kwamba ninaye mwanamke mwingine atakaye tumia hela zangu wala siyo yeye labda na mchezea tuu

Wakuu huyu binti yani anajipa umuhimu sana kwenye hela zangu nakuona ni haki yake ni muhudumie ili hali yeye yupo huko kwao kwa wazazi wake, na kwa upande wapili nikimwambia aje tuishi wote niwe na mpa hela ya matumizi ananijibu muda bado. Sasa na mimi nimemwambia muda ukifika ataenjoy hela zangu ila anaona kama simjali na nina mtesa kihisia ni lawama tuu kila kukicha wakuu.

Hapa nawaza sijui ni mfanyaje huyu wakuu maana hapa sasa naona ananilazimisha kumpiga chini japo sina mpango huo kabisa na haiwezekani binti ni mpenzi tuu alafu ajipe umuhimu kwenye maisha yangu na hela zangu .

Mimi sitaki bhana.
 
Wana jf na ndugu zangu wa MMU .

Kwa kweli mpenzi wangu sijui anashida gani yani kajipa umuhimu kwenye mali zangu, kazi yangu na hata kufikia pabaya kabisa kajiwekea umuhimu kwenye hela zangu kabisa bila hata aya ya uso...
Hahahahha eti mimi sitaki bhana.

Yaani nasoma uzi wako na kuvuta picha unavyolalamika.

Mkuu kwani bado hujaacha kulamba MAKAMASI?
 
Wana jf na ndugu zangu wa MMU .

Kwa kweli mpenzi wangu sijui anashida gani yani kajipa umuhimu kwenye mali zangu, kazi yangu na hata kufikia pabaya kabisa kajiwekea umuhimu kwenye hela zangu kabisa bila hata aya ya uso...
Wanawake ndivyo walivyo.

Mimi kuna kagraduate kalikuwa hakana kazi tunadate kinanipga mizinga nikakataftia kazi kakaanza kanakunja lak saba na 40 kabla ya makato serikali, mizinga ikaendelea kanadai ela haitoshi eti nauli.

Sasa two months ago kamekuwa promoted kanavuta kama 1.8 ml per month lakon ajabu jmos kameniomba 20000 eti hakana ela, leo kakaomba laki, nikakambia sina jioni kakaomba elfu tano.

Kanaona ela zake za maendeleo kanataka zangu ndo kale shubamit...
 
Back
Top Bottom