Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #21
bro usiniambie na kwako kaja lol
Siku hizi anazo pesa za kutosha
Mupenzi hujambo ? nje ya duka moja waliandika 'nikopeshe kasafiri onana na mdogo wake taslim atakusaidia'
uporoto@kabakabana.mtotomzuri.com
Speed 120 napita,Mx
Huyu jamaa leo mie ndo kaniganda yani haniachii hata hatua, na sioni dalili ya kuepukana nae hivi karibuni maana ndio kwanza march 12 leo, halafu ni msumbufu sana!
Utajiju(kanipa mpolee)Mxhiyo boylov imetoka wapi tena?
Utajiju(kanipa mpolee)Mx
Nina hela yuko hapa kwangu.
hahahahahaha Zimefika Kabakana na wewe Dazipozi anakupa hi kapigwa bani ya miezi mitatu,Mxukimuona msalimie sana na umpe hongera kwa kazi nzuri ya kugundua majina
Hii email yako ndo imeniacha hoi...Mupenzi hujambo ? nje ya duka moja waliandika 'nikopeshe kasafiri onana na mdogo wake taslim atakusaidia'
uporoto@kabakabana.mtotomzuri.com
hahahahahaha Zimefika Kabakana na wewe Dazipozi anakupa hi kapigwa bani ya miezi mitatu,Mx
Hii email yako ndo imeniacha hoi...
Nina hela yuko hapa kwangu.
bwahahahaha,kwa hiyo utawaiti miezi mitatu mchele na bamia dah..huyn SH ndo nani?Mxmwambie aje na mchele na tubamia kidogo,maana rafiki yangu SH ananisumbua sana.
Nitonye upo baba?MxNgoja aje akupige kibuti ndio utatia akili, halafu usije ukakuta wewe ni tapeli la pale posta mpya linavaa suti nyeusi
Nitonye upo baba?Mx
bwahahahaha,kwa hiyo utawaiti miezi mitatu mchele na bamia dah..huyn SH ndo nani?Mx