Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
Unajua hapa kunakuwa na watu wanakuwa na maneno matamu kwenye chat zao kiasi cha kutamani kama ningepata wasaa nae...!
Lakini sasa sitamani tena
Juzi nilienda kwenye ofisi ya secretary mmoja kununua vocha (siku hizi imekuwa dili masecretary kuuza vocha). Nilipokaribia mlango wa ofisi nilipokea msg, ikanilazimu nistop kidogo kuisoma. Wakati naisoma kule ndani ya ofisi nikasikia yule secretary akipiga soga na 'shogaake' na nikasikia kamwambia 'ile ishu ya juzi nimeipost kwenye jukwaa la wakubwa mda si mrefu, fungua ucheki watu wanachosema'.. Mh, mwanzoni sikupata picha lakini nilipofungua mlango kwa mbali nikaona yule secretary akiperuzi kurasa za JF, ndipo nikajua kumbe alikuwa anamaanisha jukwaa la kwenye JF!
Nilirudi ofosini kwangu na baada ya mda nikiwa naperuz kwenye Jukwaa la wakubwa nikakumbuka kisha nikacheki topic zilizotumwa ule wakati. Aisee nilishtuka maana watu wote waliokuwa wametuma topic sikuwahi kuwawazia kuwa wanaweza kuwa age ya yule mama secretary. yaani yule mama kuna wakati nilikuwa navizia mtoto wake wa tatu sijui... Nikashtuka kumbe huku inawezekana tunataniana na wakwe zetu!!