Sina hamu naye tena!

Sina hamu naye tena!

We Phlagiey unamuongezea mwenzio mawazo mweeeh!

Mwanzoni nilimwambia ni mgeni wa mapenzi nimasaidie cha kufanya akanibishia, kinamwambia tena wewe mwanamke akifika kileleni hauna uwezo wa kujua maana ni mgeni akanibishia,,basi nikaona isiwe shida nikamkusanyia maelezo yake yote ajionee kama ushahidi....
 
Last edited by a moderator:
mpake mafuta ya olive mwili mzima fanya masage alafu unaanza kidogo afu chochea sana afu,unamkatia stimu afu tena chochea kama mara 4 mfululiZO utaskia kama mashine inasukumwa itoke ukiitoa kwa haraka ni mvua waaaaa he he wanadatAga

We sema taratibu....
 
Lakin mi nimekuwa nikijitahid sana kuanzisha mada hii tena namwekaga wazi mambo mengi na nampa sana uhuru, nafikiri angekua anajistukia asionekane malaya asinge nyonya hii kitu yangu second time tulipofanya mapenzi.. kiukweli yuko huru kufanya lolote niwapo nae ila kwa hili anagoma

Kumbe wanaonyonya mshundundo ndo malaya😱😱
 
hebu nipm namba yake kisha nitajua Kweli unamfikisha au la...
 
Kaa naye faragha jadilini kwa kina kuhusu tatizo hilo,Mapenzi hayanogi bwana endapo hakuna maafikianno juu jinsi ya kupeana mautamu.
 
ila jua tu whata goes around comes around,kama unaona wazi anajitahidi kukufurahisha unamuacha kwa nini,?she cant be everything u want her to be..utamuumiza ,enewei comment yako imenikumbusha kitu

Nahisi ana ka mchepuko ambako kanamridhisha ndo maana hana haja ya kuongea na mimi kuhusu hili.
Imekukumbusha kitu gani?
 
Kaa naye faragha jadilini kwa kina kuhusu tatizo hilo,Mapenzi hayanogi bwana endapo hakuna maafikianno juu jinsi ya kupeana mautamu.

Hili hataki kuliongelea, nikiliongelea anakuja juu anadai ata ajui kukojoa ndo habari gani. Wakati hii ni relation yake ya tatu kwa mujibu wake binafsi.
 
Bila shaka weekend inaenda murua ndugu zangu.

Nimekuwa na demu wangu nimpendae kwa mwaka mmoja sasa. Tatizo linalonikumba ni kuwa sikuwahi kumpa dozi hadi akafika kunakostahili (kukojoa), licha ya kujituma kwa kadili ya uwezo wangu. Na nimewahi kuwa na girl friend mmoja kabla ya huyu na nlikuwa namfikisha vizuri tu.
Kinachoniumiza ni kuwa napotaka kuongea nae kuhusu tufanyeje ili nae aweze kuwa anafika kule ananikwepa na kudai anarizika ivo ivo.
Sasa wenzangu mnalionaje hili, anaweza akawa anarizika ivo ivo kweli au ni mwizi na muongo tu kuna sehemu nyingine anakopata vitu vya maana vya kumridhisha?
Na naamin raha ya kufanya hii kitu ni pale unapojiridhisha kuwa mwenzako anafrahia kama wewe.
Naombeni mawazo yenu ndugu zangu.

This time tomorrow!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom