Sina hamu naye tena!

Sina hamu naye tena!

ongeza ma ujanja tu,nadhani hata chumvin hujazama then unalalama tu
 
54% of women have never had orgasm. Sasa kwa nini uumize akili yako, wakati wapo wasiokojoa!!! Kama unafanya homework yako, usiumize kichwa, wapo wanaoenjoy tu ila hawafiki....
Wengine wana stress zao, maradhi, na mambo mengine mengi.
heeeee jamaniii...
 
Jaribu kucheza mchezo wa ku identify 10 places ambazo mwenzio anapenda. Anza wewe, mention wapi unapenda akuguse/ akufanyie nini then na yeye aseme, pengine atakuonyesha mahali ambapo yeye ndo panamfikisha. Wengine wanaona aibu kusema so maybe ukifanya like a game atakuonyesha
 
Teheeee mie nimesikitika jinsi ambavyo huwananilishi wengine eti kisa wapo kwenye ile 54 pasenti! Vibaya hivyo ujue lol

haha...mie sina uchoyo, nimejifunza wapi pakushika, wapi pakutomasa na wapi nikune ili mwenzangu afike milima ya usambara. Ila hiyo 54% ipo, ukiangukia hapo yabidi ule Dona, mihogo ya kuchemsha, ugalu wa muhogo...karanga, asali.. Ukila zegw hakika humfilishi popote, some ladies are hard to please in bed!!
 
Bila shaka weekend inaenda murua ndugu zangu.

Nimekuwa na demu wangu nimpendae kwa mwaka mmoja sasa. Tatizo linalonikumba ni kuwa sikuwahi kumpa dozi hadi akafika kunakostahili (kukojoa), licha ya kujituma kwa kadili ya uwezo wangu. Na nimewahi kuwa na girl friend mmoja kabla ya huyu na nlikuwa namfikisha vizuri tu.
Kinachoniumiza ni kuwa napotaka kuongea nae kuhusu tufanyeje ili nae aweze kuwa anafika kule ananikwepa na kudai anarizika ivo ivo.
Sasa wenzangu mnalionaje hili, anaweza akawa anarizika ivo ivo kweli au ni mwizi na muongo tu kuna sehemu nyingine anakopata vitu vya maana vya kumridhisha?
Na naamin raha ya kufanya hii kitu ni pale unapojiridhisha kuwa mwenzako anafrahia kama wewe.
Naombeni mawazo yenu ndugu zangu.

kwhiyo ndo huna hamu nae?
 
Jaribu kucheza mchezo wa ku identify 10 places ambazo mwenzio anapenda. Anza wewe, mention wapi unapenda akuguse/ akufanyie nini then na yeye aseme, pengine atakuonyesha mahali ambapo yeye ndo panamfikisha. Wengine wanaona aibu kusema so maybe ukifanya like a game atakuonyesha

Nitajitahidi
 
Bora hata wewe umejitambua na kuthamini kuwa unataka na mwenzio umridhishe....Wengine hawatambui hilo wanamuacha tuu mwanamke yeye mwanaume akishafika ndio basi hamfikirii mwanamke...

Wanawake wengine wanaaibu ya kuongea kuhusiana na hilo kaka....cha msingi we siku moja mtayarishe ipasavyo....pia ile kitu inahitaji matayarisho mazuri bila matayarisho huwa wkt mwingine mwanamke hahisi starehe yeyote, anahisi unamchoma choma tuu.....Ukimtayarisha ipasavyo, na wakt wa kile kitu ukimdo ipasavyo na manjonjo ukiweka lazima atafika....

NB: Wanaume wengi hawafahamu namna ya kumtayarisha mwanamke...Kukiss hawajui, KUNYONYA ziwa hawajui wananyonya km mtoto...lile halitakiwi kunyonywa kwanguvu...una nyonya juu juu km unapapasa......pili mwingine akikushika kunako anakusugua utafikiri kuna ukurutu anatoa...kule hakutakiwi kusuguliwa unatakiwa kupapasa na kidole taratiibu....

NIISHIE HAPO

***********************************

Bila shaka weekend inaenda murua ndugu zangu.

Nimekuwa na demu wangu nimpendae kwa mwaka mmoja sasa. Tatizo linalonikumba ni kuwa sikuwahi kumpa dozi hadi akafika kunakostahili (kukojoa), licha ya kujituma kwa kadili ya uwezo wangu. Na nimewahi kuwa na girl friend mmoja kabla ya huyu na nlikuwa namfikisha vizuri tu.
Kinachoniumiza ni kuwa napotaka kuongea nae kuhusu tufanyeje ili nae aweze kuwa anafika kule ananikwepa na kudai anarizika ivo ivo.
Sasa wenzangu mnalionaje hili, anaweza akawa anarizika ivo ivo kweli au ni mwizi na muongo tu kuna sehemu nyingine anakopata vitu vya maana vya kumridhisha?
Na naamin raha ya kufanya hii kitu ni pale unapojiridhisha kuwa mwenzako anafrahia kama wewe.
Naombeni mawazo yenu ndugu zangu.
 
Kuna mmoja amesema wapo wanawake ambao hawafiki Kileleni...Huu si ukweli...Ni kuwa tuu hawajawahi kupata ambaye anafikisha....Nahakika 100% mwanamke ukimtayarisha ipasavyo...na akiwa anaham...na ukifanya hitendo ipasavyo anafika...
 
Baadhi ya wanaume waache kukurupuka ktk lile tendo...Chukua muda ktk kuchezeana ndipo umuingilie mwenzio...Utakuta mwanaume anachezea kidogo huyo asha ingiza ......... lake...sivyo hivyoooo..
 
Bora hata wewe umejitambua na kuthamini kuwa unataka na mwenzio umridhishe....Wengine hawatambui hilo wanamuacha tuu mwanamke yeye mwanaume akishafika ndio basi hamfikirii mwanamke...

Wanawake wengine wanaaibu ya kuongea kuhusiana na hilo kaka....cha msingi we siku moja mtayarishe ipasavyo....pia ile kitu inahitaji matayarisho mazuri bila matayarisho huwa wkt mwingine mwanamke hahisi starehe yeyote, anahisi unamchoma choma tuu.....Ukimtayarisha ipasavyo, na wakt wa kile kitu ukimdo ipasavyo na manjonjo ukiweka lazima atafika....

NB: Wanaume wengi hawafahamu namna ya kumtayarisha mwanamke...Kukiss hawajui, KUNYONYA ziwa hawajui wananyonya km mtoto...lile halitakiwi kunyonywa kwanguvu...una nyonya juu juu km unapapasa......pili mwingine akikushika kunako anakusugua utafikiri kuna ukurutu anatoa...kule hakutakiwi kusuguliwa unatakiwa kupapasa na kidole taratiibu....

NIISHIE HAPO

***********************************

Dah asante sana. Nimesoma mpaka nikanogewa. ungeendelea ndugu yangu, hukupaswa kuishia hapo
 
Baadhi ya wanaume waache kukurupuka ktk lile tendo...Chukua muda ktk kuchezeana ndipo umuingilie mwenzio...Utakuta mwanaume anachezea kidogo huyo asha ingiza ......... lake...sivyo hivyoooo..
Sawa fundi
 
Yani ni kitu kirahis sana hata kama ametairiwa kwangu lazma akojoe tuuuu,halaf itabid niandae thread huku ya kuwakojoza waliotaotairiwa tuuu
 
Waliotahiriwa wakoje mkuu? Maana naweza nkawa nahangaika na mtu kumbe katahiriwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom