Sina hamu naye tena!

Sina hamu naye tena!

Bila shaka weekend inaenda murua ndugu zangu. Nimekuwa na demu wangu nimpendae kwa mwaka mmoja sasa. Tatizo linalonikumba ni kuwa sikuwahi kumpa dozi hadi akafika kunakostahili (kukojoa), licha ya kujituma kwa kadili ya uwezo wangu. Na nimewahi kuwa na girl friend mmoja kabla ya huyu na nlikuwa namfikisha vizuri tu. Kinachoniumiza ni kuwa napotaka kuongea nae kuhusu tufanyeje ili nae aweze kuwa anafika kule ananikwepa na kudai anarizika ivo ivo. Sasa wenzangu mnalionaje hili, anaweza akawa anarizika ivo ivo kweli au ni mwizi na muongo tu kuna sehemu nyingine anakopata vitu vya maana vya kumridhisha? Na naamin raha ya kufanya hii kitu ni pale unapojiridhisha kuwa mwenzako anafrahia kama wewe. Naombeni mawazo yenu ndugu zangu.
Mkuu hiyo ni laana ya yule uliyemuacha bila sababu ya msingi. Unavuna ulichopanda!
 
Sio kwamba nashindwa kujua kama nimemfikisha. Soma vizuri unielewe mkuu

Hata ukibisha ni kweli kwani wewe kujua umemfikisha mwanamke kileleni mpaka akuambie si unajua mwenyewe kama umemfikisha alaaa...!!

Mbona unawasi wasi...Kama ni kweli unajua kwamba unamfikisha? Omba somo usione soo mficha maradhi kifo kitakuumbua...
 
Mkuu hiyo ni laana ya yule uliyemuacha bila sababu ya msingi. Unavuna ulichopanda!

Sikumuacha, tuliachana na ni kwa sababu za msingi. Na hadi sasa tunaelewana sana japo hakuna mahusiano ya kimapenzi
 
Mi bado mdogo sijui hata mnaogelea nini.
 
Hata ukibisha ni kweli kwani wewe kujua umemfikisha mwanamke kileleni mpaka akuambie si unajua mwenyewe kama umemfikisha alaaa...!!

Mbona unawasi wasi...Kama ni kweli unajua kwamba unamfikisha? Omba somo usione soo mficha maradhi kifo kitakuumbua...

Akifika najua vizuri kuwa nimemfikisha. Tatizo langu sio kujua kama nimemfikisha, ila nataka nijue kwanini hafiki na hataki kuwa wazi tuliongelee
 
Aiseee fani yangu hii nina MASTER ya ubunifu na PHD ya kukojoza wadada kama hawa, mkuu unahitaji mafunzo kwa vitendo..

Huyo lazima atakuwa nakuzuga tu kuondoa aibu ila kunakitu anakosa.

Mimi mzima
Mbona hujaniambia siku zote kuwa una fani muhimu kiivi hadi PhD
 
Akifika najua vizuri kuwa nimemfikisha. Tatizo langu sio kujua kama nimemfikisha, ila nataka nijue kwanini hafiki na hataki kuwa wazi tuliongelee

!
!
umewahi kuwafikisha wangapi kwani hadi sasa,au umeshacheza game ngapi na kuwafikisha kunako kilele?
nataka kudhani kwamba yule wa kwanza ulimbahatisha tu.
 
Akifika najua vizuri kuwa nimemfikisha. Tatizo langu sio kujua kama nimemfikisha, ila nataka nijue kwanini hafiki na hataki kuwa wazi tuliongelee
Nimekuwa na demu wangu nimpendae kwa mwaka mmoja sasa. Tatizo linalonikumba ni kuwa sikuwahi kumpa dozi hadi akafika kunakostahili (kukojoa), licha ya kujituma kwa kadili ya uwezo wangu.

Hata kupanga maelezo pia unataka ufundishwe ona sasa unavyojichanganya..!

Kama haujawahi kumpa dozi ya kutosha utajuaje kama umemfikisha kilele?

Tatizo unalijua kabisa hauna uwezo na haujawahi kumfikisha kileleni mbona sasa unaruka ruka?

Utatakaje kujua kama hafiki kileleni wakati maelezo yako yanaonesha kwamba hauna uwezo wakutoa dozi ya kutosha?

Kuongea nae ni sawa na kumpotezea muda maana tatizo lako unalijua kauwezo kako nguvu za chips na soda..

Unataka akuweke wazi kwa kitugani wakati majibu yote unayo au unatakakumcholesha na kumsingizia kwamba hatosheki na wewe?

Hapo mtaani kwenu hakuna vijana wakukusaidia mbona kama unamchezea huyo binti na kumchafua na miwasha yako mwisho anatoka bila bila...?

Nilikuambia wewe mgeni wa mapenzi ukabisha haya sasa yako wapi.......
 
Ndo ivo maana mi nshafikiria nijiondoe kimya kimya

ila jua tu whata goes around comes around,kama unaona wazi anajitahidi kukufurahisha unamuacha kwa nini,?she cant be everything u want her to be..utamuumiza ,enewei comment yako imenikumbusha kitu
 
We Phlagiey unamuongezea mwenzio mawazo mweeeh!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom