Sina hamu na mume wangu

Hii stori ya kufikirika gesti zote, magari,nk nk amuinamishe ofisini muda wa kazi ahhhhhh
 

We nakshi hiyo avatar yako hiyo......mh! Limeshatokea kaa kwa mumeo tulia na mpe ile kitu roho inapenda don't complicate issues. Hapa unatafuta ushauri but umetupa story ya upande mmoja huenda nawe ulimnyima usiku akaamua amalizie stress zake kwa secr wake huenda nawe una mambo yako magumu.. Halafu nawashuri wanajf wote humu kwamba eleweni maana ya surprise siyo hiyo aliyoifanya. Kama surprise ilikuwa ni cake ya birthday kwa nini umvamie ofcn bila taarifa? kwa nini usingempigia simu na kumtaarifu kwamba nina shida nakuja ofcn kwako halafu ukifika ndo anajua kama siyo shida alivofikiri bali na cake? je ungekuta yuko kikao nje ya ofc hadi jioni, ungekaa na likeki lako hapo hadi arudi? je kama angetoka kikaoni akapitiliza nyumbani halafu wewe umekaa hapo hadi jioni na likeki lako halafu ukachelewa kurudi nyumbani angekufikiliaje naye? Tatizo watoto wa siku hizi mnaiga mambo halafu mnakuwa wavivu wa ku analyse mabo yenu. Acha kujishaua kampe haki yake hakuna ganzi hapo!
 

Ukifika 36 na kuendelea mpaka 50 hutasema maneno haya trust me! Tuombe uzima Mrs! Hayo ni maneno ya ujana! Utatamani hata anaye cheat hutompata!
 

You have an inquisitive mind, just like me, your big bro.

Ask this question, too: "Why didn't they close the door?"
 
mhhh...una moyoo...me ninge-cheat kujisahaulisha stress hizo..but waangalie sana watoto wasiwe affected,ts not their fault
 
Pole mpenzi!!Hiyo ndio ndoa sasa,na hizo ndo' changamoto zenyewe,jifunze kusamehe na kusahau,UNGEKUWA UMEMSAMEHE,K ICNGEKUFA ganzi mamy
 
Mnazidi kufatana hadi ofisini saprise gani hiyo msubirie nyumbani umkabizi zawadi yako mnafatana utazani njiwa zilizo tagwa kwa pamoja
 
jitahidi kukumbuka yale mema akufanyiayo halafu hisi kwamba keshafariki;akili itakufanya usahau jambo hilo kwani familia ni muhimu kuliko kufumania UKIZINGATIA KWAMBA HAMKUKUTANA MKIWA MABIKIRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…