Sina hamu na mume wangu


Asante sana kwa kunielekeza kuhusu maandishi but ungependa nitumie kiswahili gani?
Lingine kwa jinsi moyo wangu ulivyojaa maumivu ningeandika gazeti hapa ,nimejitahidi kuandika point inayonitesa kwa sasa
 

Acheni UZINZI! siyo mnavunja ndoa zenu wenyewe kwa mambo machafu halafu mnategemea sisi tuwa support na kuwapa pongezi! Jirekebisheni wenyewe ili jamii isiwe na sababu ya kuwanyooshea vidole!
Hata Biblia imesema mtu asimwache mkewe ila kwa shauri la uzinzi! Si uongo, au kutojua kupika au kutokata kiuno au kumuibia mumewe fedha, au kiburi hapana ni UZINZI!
 
nakubaliana na wewe kuwa gharama itakuwa kubwa sana, but linganisha gharama ya kuachana au ku-expose hii issue kwa ndg na jamaa! Pia nimeangalia huyo Mr. seems kuwa mtu mwenye authority katika hio ofisi kwa maana hiyo naamini wana kipato ambacho hio dada can spend even a week in a hotel, issue yangu hapa ni how yule baba naye atafeel kuwa nimekosa na ndio maana wife and kids wamenikimbia, so he will try to look for her na kutafuta a heartily reconciliation kuliko bibie aondoke halafu tena amuombe hela ya matumizi
Hiyo itamgharimu sana basi amuombe huyo mwizi a.k.a cheater aishi mbali nae kwa muda na itasaidia ila matunzo na mahitaji ya familia yawe pale pale tuu ili watoto wasinotice hizo tofauti zao
 
Mpaka sasa hujui mume wako ana fikiria nini kuhusu wewe. Hilo usilidharau, huenda na yeye hana hamu ya kufanya sex na wewe. Who knows.

Lakini pia utambue kuwa "the secretary" bado aja-give up, still anafanya kazi na mumeo na huenda bado mapenzi yao wana endeleza.

Hivyo ukiona hutoi uroda kwa mumeo na yeye yuko sawa na hilo basi anza kujenga hofu kuwa zoezi la ku-cheat halijaisha bado.

Kwa kumalizia, kwa sasa ningekushauri tu mlee watoto, familia ni zaidi ya ku-sex.

Ila kama imani yako sio kali sana na una hisia ya ku-sex ila sio na mumeo, unaweza kurudisha makoloni yako ya zamani ili yakuhudumie.
 
To be honest siwezi kulipiza kisasi
 

Nimekuelewa..kuna kabiashara kanaendelea hapa..atapata anachotaka
 
Shemeji hivi unadhani mwanaume rijali akisoma haya malalamiko, halafu jumlisha na hicho kipicha cha avatar ataijiwa na mawazo gani?

hehehe!! mawazo hayo hayo shemeji, na mashallah avatar yake imejaa neema za allah.
 
Mume wangu amekiri kosa na kesi haikuwa ndogo nami nilichukua muda kurudiana nae ila ki ukweli ni mume anayenijali mm pamoja na watoto amejitahidi kunirudisha kwenye mood yangu but mimi wapii

At least yupo hivyo. Dawa ni kucheat atleast mara moja na wewe, utakuwa umepunguza hasira uliyo nayo na itakuwa rahisi kumsamehe!
Pili kama anakujali na anaijali familia ni vzr kubaki huko, huku nje wamejaa manyang'au waongo, matapeli, malaya, halafu hawataweza kukuhudumia wewe sana sana itabidi wewe ndiyo uwahudumie trust me!
 
 
Kampime ngoma aisee

Kama hana ngoma ni ruksa kuendelea kucheat? Manake unaweza kuta secretary yupo safe! na si kila anaye cheat ni muathirika!
Siku hizi watu wanaotaka kucheat hucheck kwanza afya! Wakiwa salama wanaendelea kama vile wako kwenye ndoa
So suala la afya hapa si issue!
 
[Q UOTE=Husninyo;8932778].................. haya twangoja ushauri wako preta.[/QUOTE]

Kwa sasa sina ushauri.....nipo kwenye kutafuta ndege huku.......bado hatujaona mpaka sasa......
 
kwa upande wangu kumfumania mtu live nisingekubali kuishi nae tena.maana hiyo picha ingekuwa inajirudia tu,na nisingeifurahia ndoa tena.bora ya kusikia tu,maana live inauma.hata 6 kwa 6 style ya chuma mboga ninge mu imagine secretary tu. o sxnnge ejy ten.na mtu wa hivyo bwana kuacha kutembea nje ni ngumu ila atajitahidi kuwa careful tu.kama unampenda endelea nae,ipo siku utasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…