muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,599
pole sana dada yangu kwa hilo liliokupata ,ni ngumu kwa kweli hamna mtu anaweza kusema anayasikia maumivu unayoyapata ,ni maumivu makubwa.pia nikupongeze kwa uvumilivu ulio nao wa japo kuendelea na mahusiano mme wako ni kitu kikubwa,sio ajabu ni ni rahisi kuelewa wewe ni mwanamke mwema kwa kiasi kikubwa.
lakini ni vyema kusamehe na kuanza upya tafuteni siku na mumeo mtoke mkae sehemu yenye utulivu ujaribu tu kuvisualize mazuri aliyowahi kukufanyia mmeo ujitahidi kuignore na kudeny hiki kitendo time heals and cures ,itachukua muda lakini ukiamua kusamehe na kusahu inawezekana,kila la heri dada yangu!
Very true, kuna mtu ile aidia tu ya yeye kuwa na mwanmke mwingine unakonda kabisa.
Lakini mwingine unamkumbusha tu kutumia kinga msije kufa, haya mambo haya yako moyoni.
May the Lord bless us jamani, inatisha sana kuchitiwa na mtu unayemfeel hadi rohoni.
Kwa avatar hiyo, sasa hivi utapata wa kukutia hamu ya 'ku-have sex:biggrin1:'
Ningekuwa na kampuni ningekuweka kitengo cha marketing, unaimudu sana hii kazi.
Hapa kuna some sort of 'strategic scenario with matangazo at work'. I too much read between the lines, hadi kuna saa najikuta na-read between the legs.
Haki ya mzungu, duniani kuna watu na viatu........pole sana Dada, msamehe tu na muendelee na maishaUlikosea sana siku ile ulitakiwa uvue nguo na wewe hapo hapo awapige wote mashine huku ukimuonyesha kuwa wewe ni mtamu kuliko huyo Secretary.
Chukua likizo na uende kwa wazazi au ndugu ambao wako mbali na hapo unapoishi naamini likizo ikiisha utakuwa hata umemkumbuka kidogo na hizo stress zitakuwa zimepungua moyoni mwako
Very true..tunauza chai hapaThe same is clicking my mind. Kuna vitu ameandika vinavyoonesha asisadikike; Atoke atokako ghafla akute mtu kainamishwa bila mlango kufungwa? Ni mtumishi gani wa umma abadili ofisi ya umma kuwa danguro bila tahadhari yoyote? Mama mwenye watoto wawili unaandika sentensi kakasi kama hii? K yangu imekufa ganzi. Hii sentensi ni dhahiri imeandikwa na binti mdogo ambaye anadeploy soko la kifaa chake. Kwa kifupi alichokiandika mwenye thread hakina ukweli wowote.
Mhusika haelezi sekretari alipewa kipondo au la? Resonse ya sekretari baada ya kufumaniwa ilikuwaje? Utawala wa hiyo taasisi ulipata taarifa ya tukio hilo na hatua gani ilichukuliwa? Haiwezekani mtu afumaniwe halafu taarifa isitoke hasa wakati wa purukushani kati ya mke na sekretari.
cc: Nakshi
ila jamani sijui kuna power gani kwenye uc.hi na m.boo. yaani mtu akikucheat maumivu yake hatareeee.
huko kwa ndg,jamaa ama wazazi atakuza mambo bure hasa iwapo bado anampenda/mhitaji mumewe, cha muhimu hapo kama ana uwezo awachukue wanae na atoke home - akakae hotel au apange sehemu na aishi alone, hope she'll enjoy na hio picha itamtoka tu, and kitakuwa kipimo tosha kufahamu iwapo mumewe still need her
Badilisha mazingira ya chumba chako na hata mpangilio wa chumba chako yani hata mwelekeo wa kitanda ,mapambo,hadi maua mapazia!nunua shuka mpya za kutosha!halafu huko kichwani kwako jijengee kuwa lazima usahau utasahau tu!Najitahidi sana tena sana kusahau ila nashindwa ifikapoka swala la 6×6
Je kama secretary aliinama mwenyewe? atamsamehe. sababu inawezekana hajainamishwa bali kainama mwenyeweYaani ulivyosema umemkuta amemuinamisha
Halafu nikaangalia hiyo avatar yako
Mmmmmmmhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!
ninaposema ndani ya nyumba namaanisha kwenye ndoa, sio nyumbanihaja-cheat ndani ya nyumba ila imefanyika "ofisini kwa mumewe"
Toka naww nje ya ndoa angalau mara moja au mara mbili... na ikiwezekana mfanya ajue kabisa.
hii itakusaidia kisaikolojia kujiona huna haki ya kumchukia mmeo kwan nawewe pia umefanya kosaa hilohilo.
Na itajupelekea kua mwepesi kiakili na kusahau yalitotokea
.
duhhhhhhhh yaani we acha tu hayaelezeki mpaka yakukute waweza kuchukua maamuzi magumu dunia nzima ishangae
Haya wadada msaidieni mwenzenu maana sisi wanaume tutaishia kumtongoza tu tuitoe hiyo ganzi ya k yake...
Hakuna kipya utakachokiamua na dunia ikakushangaa
Ladba ujibebe,hapo huenda wakashangaa kidogo!
kazi kweli kweli!kwani vigezo gani unatumia kufahamu jinsi(a) ya mtu?jaribu kupitia hata profile mkuu!Aisee wewe unabusara kweli, dah! Hadi moyo wangu umekudondokea ghafla! Vipi umeshaolewa? Kama bado mie nikuweke ndani uwe bi mdogo au vipi? (just kidding, but hongera kwa busara!)