Sina hamu na mume wangu

Hilo nakataa jamani mmmh, ntasamehe yote lakini lakunicheat au kunipiga ni NEVER

hilo la kipigo kwakweli ni zito. ila kama kaamua kutumia kidudu chake kwa secretary haitonipa shida, cha msingi ni kwenda kupima magonjwa yote .... isijekuwa secretary kamuachia mpaka magonjwa ya kurithi. lol
 
please please Nakshi Nakshi mrembo!!

msamehe excel mwenzangu huyo..! unajua hayo mambo yanatokeaga rarely, mara moja moooooja!

hebu kumbuka enzi zile wakati anakuimbia nakshi nakshi.. please!

unakumbuka alipokwambia.. '' nakshi nakshi mrembo.. njoo kwangu watose vigogo''!

msamehe please.. rudisha moyo wako !!

 
Last edited by a moderator:

wewe binafsi unafikiria kuchukua hatua gani?
 
hilo la kipigo kwakweli ni zito. ila kama kaamua kutumia kidudu chake kwa secretary haitonipa shida, cha msingi ni kwenda kupima magonjwa yote .... isijekuwa secretary kamuachia mpaka magonjwa ya kurithi. lol

na kwa mtazamo wako unazani atakuwa na huyo secretary tu? once a cheater always a cheater, na ukishagundua tu kama huyo dada mwenye hiyo mada hutakuja kuwa na amani na huyo mwanaume for the rest of ur lives, kila akitoka akirudi mawazo yako yatakuwa pengine katoka kwa mwanamke, sasa ni maisha gani hayo? maradhi haya utaishi kwa wasiwasi pengine kesho atauleta au pengine kashauleta hata ukipima lakini as long as huna imani nae utakuwa na mawazo ya kuletewa magonjwa kila siku, sasa kuna haja ya kuwe kwenye hiyo ndoa kweli?
 
Power iko moyoni, wala si kwa sex organs; na maumivu yapo huko huko kwa moyo. Ndio maana waweza sex na mtu usomfeel na hata ukisikia yuko na mtu mwingine usiumie. Lkn mtu ulompenda na uliyemuamini, it hurts more than death itself.

na sijui hata wanaosex na watu wasiowafeel wanawezaje. power ipo kwenye hizo organs. yaani mkishaanza kushare vikojoleo tu mambo yanabadilika. wewe chunguza kabla hujaanza rasmi mahusiano na mtu na ukishaanza hali inavokuwa.
 
Natamani kila aliyeko kwenye ndoa angekuwa anakuja na exprience zote nzuri na mbaya, maana sasa kwa hizi mbaya zinazokuja kila siku zinasababisha baadhi ya watu waione ndoa kama jehanamu.

Tujifunze kutatua matatizo yetu bila kushirikisha watu mpaka itakaposhindikana kabisa, 80% watakushauri kwa sauti huku mioyoni wanafurahia kushindwa kwako.

Utashangaa thread zilizoko positive na ndoa haziattract watu wengi kama negatives. Wanandoa hatuna budi kutobadilika na kuacha kuwapa faida ya kutucheka.
 
Hapo kwenye ''kuinamisha'' a.k.a chuma mchicha eeeeh....pole sana dada..kiruuu
 

nimeshaelewa sasa kuwa wasiwasi ndio unaweza kusababisha ukimbie ndoa. yaani umeishi na mumeo zaidi ya hata miaka mitano leo uachie ndoa kirahisi kisa secretary????? tunatakiwa kuwaelewa hawa viumbe lasivyo tutakuwa watu wa kuruka majivu na kwenda kukanyaga moto.dah! nyumba kubwa hebu njo pande hizi basi.
 
hahaha, between the legs? ngoja niishie hapo manake nawaza between zingine
 

wala sio wasiwasi ila siwezi kuwa kwenye ndoa ambayo najua kabisa mume wangu ni mzizi, na ndoa nyingi za dunia ya leo ZIKO HVYO, wanaume walioko kwenye ndoa ni malaya sana tunawaona hata humu maofisini mpaka mtu unabaki unashangaa, na wanawake wengine wanajua kabisa uchafu wa waume zao lakini wapo tu, sasa hali hiyo inakuwa kama vile tumewapa go ahead ndo mana na wao hawaoni sababu ya kutuheshimu, how do we expect them to change if we dont change ourselves kwa kusema NO kwa uchafu wanaotufanyia?
 
Pole sana! Hali itarudi kawaida ila ki ukweli itachukua muda mrefu. Mshirikishe mumeo ili kwa pamoja mfanyie kazi hali hii.
 
Dah hakuna kitu ambacho mimi nachukia kama kusalitiwa, umejitahidi kwakweli kuishi nae hadi leo hii ukute hiyo ndio tabia yake zipu haifungi kwahiyo alikuomba msamaha? Umemsamehe?

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 

It's konie again....!! hahahahaaa..!!
 

Mume wangu amekiri kosa na kesi haikuwa ndogo nami nilichukua muda kurudiana nae ila ki ukweli ni mume anayenijali mm pamoja na watoto amejitahidi kunirudisha kwenye mood yangu but mimi wapii
 

Kongosho we umeona Avatar tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…