Noo, umedai kua ukimwacha hutaolewa tena. Sasa swali la kujiuliza Kama uliumia na kusikia wivu kwa mumeo kutembea nje ya ndoa maana yake Uo ni wivu kwa mwanaume, Je ikiwa una wivu kwa mwanaume utaweza ishi bila mwanaume?? HAIWEZEKANI NASEMA TENA HAITAWEZEKANA, na wala hakuna mwanamke mwenye wivu kwa mwanaume hawezae ishi bila mwanaume...Ndipo utakuja kugundua ni rahisi kuongea ila kutekeleza ni ngumu. Kubwa ninalo kushauri dada, kuna kitu Kinaitwa Msamaha katka ndoa ama maisha ya kila siku, wengi hawawezi kusamehe matokeo yake ukaa ni vitu mioyoni mwao vikiwaumiza, amini usiamini wengi wanaojiua ama kupoteza direction kimaisha huteswa na hali ya kutokusamehe na kusahau ivyo ujiruhusu kuishi na maumivu yanayowapelekea kuamua maamuzi mabaya ama yasiyo sahihi yaletayo majuto (Mwisho : Nikuambie tu Wengi waliosema wanaweza kuishi bila kua na mwanaume uishia kuwa mama Huruma na kumpa kila mtu, kama nilivyoeleza kwenye moja ya comment zangu huko juu, wamejawa misongo ya mawazo na matatizo ya Kisaikolojia)
NDOA NJEMA
Acha ubishi mr wise anachoongea kina ukweli sana tu...ngoja ukae at least two yrs ndo utamkubali.
Kila la kheri...
pole sana ndugu ninacho kushauri umwombee Mungu sana na pia kama utapenda nitafute kwa hii no 0713800250
kaka mie niko kwenye ndoa usidhani najiropokea tu hapa i knw what am saying
[/QUOTE]Mkuu mr.wise you have spoken well...nimefuatilia majibu yako kwa kina.
QUOTE=Mr. Wise;8954191][COLOR=#0000ff[SIZE=3]Noo, umedai kua ukimwacha hutaolewa tena. Sasa swali la kujiuliza Kama uliumia na kusikia wivu kwa mumeo kutembea nje ya ndoa maana yake Uo ni wivu kwa mwanaume, Je ikiwa una wivu kwa mwanaume utaweza ishi bila mwanaume?? HAIWEZEKANI NASEMA TENA HAITAWEZEKANA, na wala hakuna mwanamke mwenye wivu kwa mwanaume hawezae ishi bila mwanaume...Ndipo utakuja kugundua ni rahisi kuongea ila kutekeleza ni ngumu. Kubwa ninalo kushauri dada, kuna kitu Kinaitwa Msamaha katka ndoa ama maisha ya kila siku, wengi hawawezi kusamehe matokeo yake ukaa ni vitu mioyoni mwao vikiwaumiza, amini usiamini wengi wanaojiua ama kupoteza direction kimaisha huteswa na hali ya kutokusamehe na kusahau ivyo ujiruhusu kuishi na maumivu yanayowapelekea kuamua maamuzi mabaya ama yasiyo sahihi yaletayo majuto (Mwisho : Nikuambie tu Wengi waliosema wanaweza kuishi bila kua na mwanaume uishia kuwa mama Huruma na kumpa kila mtu, kama nilivyoeleza kwenye moja ya comment zangu huko juu, wamejawa misongo ya mawazo na matatizo ya Kisaikolojia)[/SIZE][/COLOR]
NDOA NJEMA
we nakshi acha kutuzuga kulw story nyingine huku unaleta nyingine
wapi huko kwenye stori nyingine nikaisome na yenyewe
kuna story kule kadai sijui ana mtoto ngoja niitafute nikucall
poa poa
Nimekumbuka kuna story kule anasema kapewa mimba akiwa form two akajifungua akarudi shule jamaa alimkimbia sahv kamaliza kapata kazi afu eti jamaa kaparalyze now sahv ndo anataka warudiane waoane
Nakusemea kwa mumeo
Mmh hiyo avatar yako balaaaaa
Hahahaha balaa lipi tena
Ntakusemea kwa mkeo
Lol..sijaoa mimi
Hahaha huu ni ukweli kabisaMnasemaga kweli nyie si mpaka mfumaniwe
si sawa ila pia si sababu ya kushindwa kuendelea kuishi nae.