min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,897
- 129,019
Za kuambiwa changanya na zako ,halafu baki kwenye mstari.Sasa kwanini mnadanganya?
Za kuambiwa changanya na zako ,halafu baki kwenye mstari.Sasa kwanini mnadanganya?
Nje ya hizo vitu mnaita love Kwa ndani kuna kitu kinaitwa ngono ambacho ndicho huwa ni main pointTofautisha mapenzi na ngono
Hizo hela za kuzitafuta kwa mateso na kuzifuga mwisho wa siku unakufa haujala hata robo mimi sizitaki ,mimi natafuta natumia, sina kiasi maalumu, naweza amka sina hata na Mia, nikitoka narudi na chochote ili mradi bima ya afya ninayo ya uhakika tu🤣🤣🤣🤣Sijasema chenji, nimesema Hela.
Nweii una chenji kias gani?
MM huu ni uchoyo na ubinafsi, ko hata hutaki kutaja una chenji kias gani? Bas sawa, vipi leo hapo sahivi una chenji kias gani?Hizo hela za kuzitafuta kwa mateso na kuzifuga mwisho wa siku unakufa haujala hata robo mimi sizitaki ,mimi natafuta natumia, sina kiasi maalumu, naweza amka sina hata na Mia, nikitoka narudi na chochote ili mradi bima ya afya ninayo ya uhakika tu🤣🤣🤣🤣
Hongezea maelekezo kidogo mkuuNatamani ningejua kidogo kuhusu wewe, then ninge confirm kile ninachojua kuhusu Watu wa Aina Yako.
Kuna watu ambao Mungu amewaumba hivyo Kwa sababu Maalumu, those who are the chosen one, wako hivyo sababu Wana kazi kubwa ya kufanya..
Na buku tu na bado nimelala ila nakunywa bia nairudishia kwa uvungu narudi kuchati humu Dr am 4 real PhDMM huu ni uchoyo na ubinafsi, ko hata hutaki kutaja una chenji kias gani? Bas sawa, vipi leo hapo sahivi una chenji kias gani?
Nigawie jero basi, au wee unaonaje?Na buku tu na bado nimelala ila nakunywa bia nairudishia kwa uvungu narudi kuchati humu Dr am 4 real PhD
Mhm siwezi chukua maji na kikombe nimwage baharini😁😁😁Nigawie jero basi, au wee unaonaje?
😂😂😂😂😂
Kuna nini master?Aiseee!!!👿
MM uchoyo wa ki mwendokasi huu. Nimecheka hadi bas.Mhm siwezi chukua maji na kikombe nimwage baharini😁😁😁
Nafikiri mtoa mada alishanyetuka huwa mnyetukaji kupenda ni ngumu sana au wewe unaonanaje?MM uchoyo wa ki mwendokasi huu. Nimecheka hadi bas.
Nigawie jero bhana, 😂😂😂😂
Inategemea! 😂😂😂😂Nafikiri mtoa mada alishanyetuka huwa mnyetukaji kupenda ni ngumu sana au wewe unaonanaje?
Hii experience ninayo ndio maana nimefikiri hivyo🤣🤣 sasa mtu through osmosis umeshalala na kina Mia Khalifa, jade fire na kina skin diamond una fikiri kina , khajida na mwaju wa buza atawapendaje?Inategemea! 😂😂😂😂
MM leo umelanduka Co poa, WoiiiiiihHii experience ninayo ndio maana nimefikiri hivyo🤣🤣 sasa mtu through osmosis umeshalala na kina Mia Khalifa, jade fire na kina skin diamond una fikiri kina , khajida na mwaju wa buza atawapendaje?
Punguza kupiga punyeto, mwishowe kitabakia kama pirton shauri yakoHabari Wana JF
Mimi nikijana wa miaka 28 nimuda Sasa najihisi kua sio binadam aliekamilika.
Nina changamoto yakukosa upendo wa kimahusiano na mwanamke, Yani naweza nikawa kwenye mahusiano lakin Ile Hali yakuhisi kumpenda mwenzangu sina kabisaa, nimejaribu Hadi kwa pisi Kali zilizonyooka lakini hamna kitu.
Sijawah kuhofia kupoteza mahusiano,Yani Mimi nikiwa namwanamke hata akiamua kuniacha naona sawa tuu sihofii chochote na hata moyo haushtuki.
Imefikia mahali nimeamua kuigiza kupenda lakin kunamdaa najisahau nakua don care,nimejitahd kunsikiliza nyimbo za mapenzi ilinipate hata kadilili lakini wapii nipo nipo tuu.
Kiufupi sielewi hata nashida Gani nataman skumoja nipendee ili nijue hata ladha ya upendoo sababu haya maisha yamenishinda
Naombeni ushauri jamani niondokane nahili tatizo
Kimtindo tu nimeona nisikae kinyonge kichwa kiwake🤣MM leo umelanduka Co poa, Woiiiiiih
😂😂😂😂😂😂
Na kimewaka haswaa, yaan kimekolea kabisa.Kimtindo tu nimeona nisikae kinyonge kichwa kiwake🤣
Aina hii ya wanaume wanapendwa sana na wanawakeHabari Wana JF
Mimi nikijana wa miaka 28 nimuda Sasa najihisi kua sio binadam aliekamilika.
Nina changamoto yakukosa upendo wa kimahusiano na mwanamke, Yani naweza nikawa kwenye mahusiano lakin Ile Hali yakuhisi kumpenda mwenzangu sina kabisaa, nimejaribu Hadi kwa pisi Kali zilizonyooka lakini hamna kitu.
Sijawah kuhofia kupoteza mahusiano,Yani Mimi nikiwa namwanamke hata akiamua kuniacha naona sawa tuu sihofii chochote na hata moyo haushtuki.
Imefikia mahali nimeamua kuigiza kupenda lakin kunamdaa najisahau nakua don care,nimejitahd kunsikiliza nyimbo za mapenzi ilinipate hata kadilili lakini wapii nipo nipo tuu.
Kiufupi sielewi hata nashida Gani nataman skumoja nipendee ili nijue hata ladha ya upendoo sababu haya maisha yamenishinda
Naombeni ushauri jamani niondokane nahili tatizo
Mhm sio kweliNa kimewaka haswaa, yaan kimekolea kabisa.
😂😂😂😂😂