Sina dalili ya upendo kabisa

Sina dalili ya upendo kabisa

Pisi kali ni natural, ila Pisi classic ni artificial.
Ndo maana watu hawajui kutofautisha, mzuri na mrembo.

Pisi kali hata buza zipo, je hizo classic? Na kwa maelezo yako ya vitu ulivyotaja bas sio pisi kali, ni classic na huyo OP hata kumtongoza hawezi.

Watu mtafute hela, 😂😂😂😂
20250318_190721.jpg
Mimi nipate pesa kidogo tu nile na kunywa kwanza, kidogo ni save ,hizo pis classic zinipite kushoto wa hivi ananitosha kabisa kupunguza upwiru tu🤣
 
Pisi kali ni natural, ila Pisi classic ni artificial.
Ndo maana watu hawajui kutofautisha, mzuri na mrembo.

Pisi kali hata buza zipo, je hizo classic? Na kwa maelezo yako ya vitu ulivyotaja bas sio pisi kali, ni classic na huyo OP hata kumtongoza hawezi.

Watu mtafute hela,
[emoji23][emoji23][emoji23]we ni pisi ipi kati ya hizo?
 
Naona tunafanana kidogo brother sema mimi nina hasira vibaya hasa demu akianza uongo uongo fulani yaani hata sijamla basi nampotezea mapema kabisa
 
Kitakukuta kitu, nasemaje tafuta hela.
😂😂😂😂
Hakiwezi nikuta kitu na kondoo wa livyo wengi kuliko kinikute kitu nitawa manipulate waje wanyanyue mikono ya nabii chapu tu narudi kwenye mfumo , mimi kukosa chenji za mboga ni ngumu kama kuona tako la mamba mkuu😁
 
Sijasema chenji, nimesema Hela.
Nweii una chenji kias gani?
 
Back
Top Bottom