Sina dalili ya upendo kabisa

Sina dalili ya upendo kabisa

Habari Wana JF

Mimi nikijana wa miaka 28 nimuda Sasa najihisi kua sio binadam aliekamilika.

Nina changamoto yakukosa upendo wa kimahusiano na mwanamke, Yani naweza nikawa kwenye mahusiano lakin Ile Hali yakuhisi kumpenda mwenzangu sina kabisaa, nimejaribu Hadi kwa pisi Kali zilizonyooka lakini hamna kitu.

Sijawah kuhofia kupoteza mahusiano,Yani Mimi nikiwa namwanamke hata akiamua kuniacha naona sawa tuu sihofii chochote na hata moyo haushtuki.

Imefikia mahali nimeamua kuigiza kupenda lakin kunamdaa najisahau nakua don care,nimejitahd kunsikiliza nyimbo za mapenzi ilinipate hata kadilili lakini wapii nipo nipo tuu.

Kiufupi sielewi hata nashida Gani nataman skumoja nipendee ili nijue hata ladha ya upendoo sababu haya maisha yamenishinda

Naombeni ushauri jamani niondokane nahili tatizo
Hivyo ndivyo inatakiwa iwe.

Jipende wewe mwenyewe.

Usipelekeshwe na mwanamke kwa gia ya upendo.
 
Wewe utakuwa na matatizo sio bure, mwanaume kamili unakosaje hisia kwa mwanamke au tuseme huwa unadate na wanawake hovyo wasio na mvuto
 
Mbususu ina raha yake kuipata sasa yenyewe.
Utatoa ushauri kumbe analiwa nae huyu.
Aache kujibebisha,kanyaga twende tu mpk kunakucha.
 
Back
Top Bottom