Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,431
- 3,069
Hii point nimeipenda sana , baadhi yetu haya mapenzi tunalazimisha tuThe same same kaka
Usjari tupo pamoja nadhani sisi ni moja kati ya design ya watu ambao furaha zetu sio ngono
Ni tofauti kidogo na wewe mimi napenda lakini baada ya muda naanza kushindwa kupractice love then nachoka kabisa kufake then naachaa mazima