Sina dalili ya upendo kabisa

Sina dalili ya upendo kabisa

Nje ya hizo vitu mnaita love Kwa ndani kuna kitu kinaitwa ngono ambacho ndicho huwa ni main point

No love nowadays usitudanganye haps
Upo sahihi lakini unapotafuta ngono tu kwa kila mwanamke itafika wakati hutafurahia chochote.
Mapemzi yapo ingawa ni nadra kuyapata.
 
Habari Wana JF

Mimi nikijana wa miaka 28 nimuda Sasa najihisi kua sio binadam aliekamilika.

Nina changamoto yakukosa upendo wa kimahusiano na mwanamke, Yani naweza nikawa kwenye mahusiano lakin Ile Hali yakuhisi kumpenda mwenzangu sina kabisaa, nimejaribu Hadi kwa pisi Kali zilizonyooka lakini hamna kitu.

Sijawah kuhofia kupoteza mahusiano,Yani Mimi nikiwa namwanamke hata akiamua kuniacha naona sawa tuu sihofii chochote na hata moyo haushtuki.

Imefikia mahali nimeamua kuigiza kupenda lakin kunamdaa najisahau nakua don care,nimejitahd kunsikiliza nyimbo za mapenzi ilinipate hata kadilili lakini wapii nipo nipo tuu.

Kiufupi sielewi hata nashida Gani nataman skumoja nipendee ili nijue hata ladha ya upendoo sababu haya maisha yamenishinda

Naombeni ushauri jamani niondokane nahili tatizo
Njoo nikupende adi uchizi
 
Shukuru Sir God yan hyo n nyota ya utajiri 😂😂 Amna tajiri mwenye muda wa kuwaza mapenzi
 
😹😹😹Niikisema sipendi pesa hamuamini nikisema napenda mnaniita tapeli?!
Mbn nikisema napenda husemi ni uongo?
Kwa sababu ni kwel hakuna asiye penda pesa ila kusema haupendi ni mbinu ya kitapeli😁
 
Openly hauko sawa kiakili, kihisia wala kisaikologia
Binadam alie kamilika anapenda anawivu na anaumizwa na mapenzi ukiona vitu hv hauna jua unamapungufu sehemu hasa mentaly
 
Openly hauko sawa kiakili, kihisia wala kisaikologia
Binadam alie kamilika anapenda anawivu na anaumizwa na mapenzi ukiona vitu hv hauna jua unamapungufu sehemu hasa mentaly
Hiyo ni kawaida tu wala haina uhusiano na tatizo la akili
 
Back
Top Bottom