Sina dalili ya upendo kabisa

Sina dalili ya upendo kabisa

Upo sahihi lakini unapotafuta ngono tu kwa kila mwanamke itafika wakati hutafurahia chochote.
Mapemzi yapo ingawa ni nadra kuyapata.
Mapenzi ni yako ingawa ni nadra kuyapata.

Basi sisi ni wale ambao bado hatujapata kwa mantiki hiyo ni kazi sana kutuaminisha kama kuna nje ya ngono kuna upendo tena

Haha
 
Tatizo lako limeanzia utotoni, hujawahi kupata upendo wa wazazi wako wawili. Correct me if am wrong.
 
Habari Wana JF

Mimi nikijana wa miaka 28 nimuda Sasa najihisi kua sio binadam aliekamilika.

Nina changamoto yakukosa upendo wa kimahusiano na mwanamke, Yani naweza nikawa kwenye mahusiano lakin Ile Hali yakuhisi kumpenda mwenzangu sina kabisaa, nimejaribu Hadi kwa pisi Kali zilizonyooka lakini hamna kitu.

Sijawah kuhofia kupoteza mahusiano,Yani Mimi nikiwa namwanamke hata akiamua kuniacha naona sawa tuu sihofii chochote na hata moyo haushtuki.

Imefikia mahali nimeamua kuigiza kupenda lakin kunamdaa najisahau nakua don care,nimejitahd kunsikiliza nyimbo za mapenzi ilinipate hata kadilili lakini wapii nipo nipo tuu.

Kiufupi sielewi hata nashida Gani nataman skumoja nipendee ili nijue hata ladha ya upendoo sababu haya maisha yamenishinda

Naombeni ushauri jamani niondokane nahili tatizo
Mkuu kuna uyu Demi amesema sisi ambao tupo hivi tulikosa upendo wa wazazi

Ndio,maana tupo design hii
Kwa upande wangu it's absolutely true

Kwa sasa Demi nifanyaje sasa kama hii hali bado inaendelea kunitafuna

Yukwapi
 
Tafuta mwanasaikolojia akusaidie kama kweli unataka hili tatizo liishe, au uji-counsel tu mwenyewe maana sisi wabongp mambo ya wanasaikolojia hatuna mazoea nayo.
Tumia mtandao(internet kupata taarifa). Pia unaweza tu kubadili mtazamo kwamba inawezekana kubadilika na ukapenda.
Mfano mimi nina mapenzi tele jamani..hata nikiumizwa na mmoja siwezi kuyachukia mapenzi, nitakuja kupenda tena lazima😀.

Ingawa kuna ukweli kwamba siku hizi mapenzi yana matatizo..ni kama vile watu wamepunguza kupenda, hawajali.
 
Nitajaribu sasa
Nitajaribu sasa
Nitajaribu sasa
 
Jiachie..
Ukimpata anayekupenda jaribu kupenda. Punguza negativity.
Huwa najaribu sana lakini kwa upande wangu labda nakuwa sipati kitu nicho kihitaji hawa wanawake uku nje hawako loyal kabisa
 
Nilodhani huko nje wapo tofauti na wa huku
Kwa kiasi fulani wanawake haswaa wa jimbo ambalo nilikuwa nakaa wanavichwa vigumu sijapata kuona

Los Angeles hakuna wanawake kuna makahaba
 
Kama hata huko kijijini unekosa basi pole sana😀
Haha 😂 ni zamani nahisi walikuwa wakisema kijijini waweza pata soulmate lakini kwa sasa hakuna cha soul wala mate

Ni drama
 
Et had pisi Kali zilizonyooka ni watu gan hao? Wanautofaut gan na wanawake wengine
 
Shikilia hapo hapo mkuu
Habari Wana JF

Mimi nikijana wa miaka 28 nimuda Sasa najihisi kua sio binadam aliekamilika.

Nina changamoto yakukosa upendo wa kimahusiano na mwanamke, Yani naweza nikawa kwenye mahusiano lakin Ile Hali yakuhisi kumpenda mwenzangu sina kabisaa, nimejaribu Hadi kwa pisi Kali zilizonyooka lakini hamna kitu.

Sijawah kuhofia kupoteza mahusiano,Yani Mimi nikiwa namwanamke hata akiamua kuniacha naona sawa tuu sihofii chochote na hata moyo haushtuki.

Imefikia mahali nimeamua kuigiza kupenda lakin kunamdaa najisahau nakua don care,nimejitahd kunsikiliza nyimbo za mapenzi ilinipate hata kadilili lakini wapii nipo nipo tuu.

Kiufupi sielewi hata nashida Gani nataman skumoja nipendee ili nijue hata ladha ya upendoo sababu haya maisha yamenishinda

Naombeni ushauri jamani niondokane nahili tatizo
Kupenda ni upumbavu natamani kuwa kama wewe
 
Back
Top Bottom